Nafurahii kujua hujambo dear!Mi niko poa kabisa my princess,
Welcome to enjoy our day, hizi mambo za kukuacha nyuma mwisho unakuwa mpweke inabidi tuziache kabisa, come here, too close my lady to fly.
Thank you, is my pleasure to be with you my queen.Nafurahii kujua hujambo dear!
wa kuhusu pmMimi nina uzi gani?
Yo welcome my dear...Thank you, is my pleasure to be with you my queen.
Umefunga pm...Nafurahii kujua hujambo dear!
Ndio mefungaaUmefunga pm...
Mimi niko buheri nafurahia uwepo wako.Naendelea salama kabisa sijui wewe rafiki
Hahahaaa! Lol. Ndio hapo sasa Mkuu.Mchakamchaka wa mtaani peke yake unatosha kutuchosha, bado mtu anahangaika tena na mambo madogomadogo ya PM JF???
Hahahaa. Kama nakuona vile Ses. Ila unazijua bana.Nipo Shadeeya, nasikiliza nyimbo laini za zilipendwa huku naendelea kupata kinywaji changu taratiiibu
Dah! Leo umenitengenezea siku yaku ShadeeyaHahahaa. Kama nakuona vile Ses. Ila unazijua bana.
Naamini katika zile nyimbo mia mbili na kitu huu nao umo.
Hapo kwa Cosmas Thobias Chidumule umenipoteza kabisaa kama zile njia zako za kul. πππDah! Leo umenitengenezea siku yaku Shadeeya
Na naamini kwanamna hii siku yangu itakua nzuri sana mamii
Mwimbo huu wa nawashukuru wazazi no.1 upo katika zile 200 za zilipendwa ulizoziona. Ni utunzi na uimbaji wa Cosmas Thobias Chidumule.
Umenikumbusha mbaali sana
Hivi wanafichaga niniAnayefunga PM hana tofauti na yule anaetoa whatsApp last seen....wote naonaga ni watoto tu.
Nitakusikilizisha, nitakuongoza utaipenda wala haitakuchanganya kama zile njiaπππHapo kwa Cosmas Thobias Chidumule umenipoteza kabisaa kama zile njia zako za kul. πππ
Haya bana Baba enjoy your day. π