Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Mi niko poa kabisa my princess,
Welcome to enjoy our day, hizi mambo za kukuacha nyuma mwisho unakuwa mpweke inabidi tuziache kabisa, come here, too close my lady to fly.
Nafurahii kujua hujambo dear!
 
Mchakamchaka wa mtaani peke yake unatosha kutuchosha, bado mtu anahangaika tena na mambo madogomadogo ya PM JF???
Hahahaaa! Lol. Ndio hapo sasa Mkuu.

Nionavyo mwisho wa siku kila mmoja afanye vile ambavyo nafsi yake inapenda. Kwenye Id tunazozimiliki wenyewe no kupangiana. 💃💃💃
 
Hahahaa. Kama nakuona vile Ses. Ila unazijua bana.

Naamini katika zile nyimbo mia mbili na kitu huu nao umo.

Dah! Leo umenitengenezea siku yaku Shadeeya
Na naamini kwanamna hii siku yangu itakua nzuri sana mamii

Mwimbo huu wa nawashukuru wazazi no.1 upo katika zile 200 za zilipendwa ulizoziona. Ni utunzi na uimbaji wa Cosmas Thobias Chidumule.

Umenikumbusha mbaali sana
 
Hapo kwa Cosmas Thobias Chidumule umenipoteza kabisaa kama zile njia zako za kul. 🙈🙈🙈

Haya bana Baba enjoy your day. 😍
 
Back
Top Bottom