Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Tumeumizwa sana na 7800, sio kwamba hatujiamini
Hivi na wewe wangu umefunga PM eeh. sijawai wazaga hili, umenizoesha vibaya, ila sawa funga na loku zote, usimwamini mtu wengine ni matapeli, wahuni na wanyang'anyi.
How are you my lady?
 
Nimefreeez last seen
Nmehide blue ticks
Nmehide second tick
Nmehide jina langu kuappear kwenye viewers list
Nmehide typing and recording VN
😝
Mwisho utaji hide mwenyewe, utajitafuta hutojiona ukitaamaki 40s game over. Watu wanang'oa magori, mabaharia wameamisha kiwanja....utawaita kwa filimbi.
 
Hivi na wewe wangu umefunga PM eeh. sijawai wazaga hili, umenizoesha vibaya, ila sawa funga na loku zote, usimwamini mtu wengine ni matapeli, wahuni na wanyang'anyi.
How are you my lady?
Niliwafungia wazee wa 7800 mhenga wangu..
Nakuamini wewe tuu na pakunipata unapajua!

Mimi sijambo kabisaa my dear, hofu kwako tuu uliye mbali na upeo wa macho yangu..
 
Niliwafungia wazee wa 7800 mhenga wangu..
Nakuamini wewe tuu na pakunipata unapajua!

Mimi sijambo kabisaa my dear, hofu kwako tuu uliye mbali na upeo wa macho yangu..
Napafahamu kabisa si unaona siku hizi sikulaumu tena, wala sikuongopei tena kishamba, ni love-to-love.
Mi niko poa kabisa ila niko uku milimani kuna kaubaridi hivi, wishing ungekuwepo kwa karibu hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…