Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Dada ๐๐๐๐Tumeumizwa sana na 7800, sio kwamba hatujiamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada ๐๐๐๐Tumeumizwa sana na 7800, sio kwamba hatujiamini
Hivi na wewe wangu umefunga PM eeh. sijawai wazaga hili, umenizoesha vibaya, ila sawa funga na loku zote, usimwamini mtu wengine ni matapeli, wahuni na wanyang'anyi.Tumeumizwa sana na 7800, sio kwamba hatujiamini
Nipo jirani mambo tu ndio mengi saa zingine.Miss you. Jirani. Hivi sostenes yupo wapi
Mwisho utaji hide mwenyewe, utajitafuta hutojiona ukitaamaki 40s game over. Watu wanang'oa magori, mabaharia wameamisha kiwanja....utawaita kwa filimbi.Nimefreeez last seen
Nmehide blue ticks
Nmehide second tick
Nmehide jina langu kuappear kwenye viewers list
Nmehide typing and recording VN
๐
๐๐๐ ๐๐Mwisho utaji hide mwenyewe, utajitafuta hutojiona ukitaamaki 40s game over. Watu wanang'oa magori, mabaharia wameamisha kiwanja....utawaita kwa filimbi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliwafungia wazee wa 7800 mhenga wangu..Hivi na wewe wangu umefunga PM eeh. sijawai wazaga hili, umenizoesha vibaya, ila sawa funga na loku zote, usimwamini mtu wengine ni matapeli, wahuni na wanyang'anyi.
How are you my lady?
AiseeeNimefreeez last seen
Nmehide blue ticks
Nmehide second tick
Nmehide jina langu kuappear kwenye viewers list
Nmehide typing and recording VN
[emoji13]
Napafahamu kabisa si unaona siku hizi sikulaumu tena, wala sikuongopei tena kishamba, ni love-to-love.Niliwafungia wazee wa 7800 mhenga wangu..
Nakuamini wewe tuu na pakunipata unapajua!
Mimi sijambo kabisaa my dear, hofu kwako tuu uliye mbali na upeo wa macho yangu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja waje wenyewe waliofunga
Washakuja au bado wanatafakari?Hata mimi nawasubiri waje wajieleze
So tumeanza kupangiana maisha
Mi huwa nashangaa sana watu walioweka profile picture
So what ?
Washamba tu [emoji3][emoji3]
You need to teach me how to do all of theseNimefreeez last seen
Nmehide blue ticks
Nmehide second tick
Nmehide jina langu kuappear kwenye viewers list
Nmehide typing and recording VN
๐
๐๐ SijawaonaWashakuja au bado wanatafakari?
Habarini wana JF.
Poleni na majukumu makubwa ya kujenga taifa, nina suala nataka niwasilishe kwenu japo ni suala la mtu binafsi.
Neno langu siyo sheria hivyo sina maana kwamba nataka watu wabadili faragha zao lah! Nataka kuwasilisha kulingana na maono yangu.
Baadhi yetu tumepiga kufuli kwenye akaunti zetu humu ndani kila mmoja akiwa na sababu zake za msingi na anazojua yeye mwenyewe kwanini afanye hivyo. Ila nikiwa nimetulia nimewaza na kuona huu ni uoga na kutokujiamini kwa mtu. PM unaweza kupokea taarifa kutoka kwa mtu na siyo lazima ujibu ila anaweza kusoma alichoandikiwa.
Sasa baada ya kutafakari kwa kina nimeona sina haja ya kufanya hivyo kwani nina option mbili (kujibu au kutokujibu).
Neno langu siyo sheria.