Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Nina wasiwasi wapo mademu wamefunga PM sasa imewaudhi wengi sana. Hata hivyo wengine sio kwamba wanasumbuliwa au nini wanaamua tu kufunga PM ili nao waonekane wanafunga eti kukwepa kusumbuliwa,
 
Nina wasiwasi wapo mademu wamefunga PM sasa imewaudhi wengi sana. Hata hivyo wengine sio kwamba wanasumbuliwa au nini wanaamua tu kufunga PM ili nao waonekane wanafunga eti kukwepa kusumbuliwa,
Huwenda kwa wengine wenye tabia ya kufuatilia wanawake humu ila sijaona haja ya mtu kufanya hivyo kama anaamini ana uwezo wa kujisimamia.

Mwanzoni niliwahi kupokea PM kadhaa na ninazisoma na kufuta kwa sababu sioni haja ya kureply.

Suala la mademu kufunga PM zao na wao waonekane wanakwepa usumbufu wa kutumiwa meseji sijui kama ni kweli japo kila mmoja ana sababu zake za kufunga.
 
Hivi wanofunga pm ni wanawake tu?
 
[emoji23][emoji23]uko kama mimi yaani sitaki ujinga
Nimefreeez last seen
Nmehide blue ticks
Nmehide second tick
Nmehide jina langu kuappear kwenye viewers list
Nmehide typing and recording VN
[emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…