Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
- Thread starter
- #61
Nashauri ufute hii picha mkuu, hata kama simjui ila siyo vyema mkuu. Huyo mzee wetu tumpe heshima yake.
Tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashauri ufute hii picha mkuu, hata kama simjui ila siyo vyema mkuu. Huyo mzee wetu tumpe heshima yake.
Mkuu,
Habarini wana JF.
Poleni na majukumu makubwa ya kujenga taifa, nina suala nataka niwasilishe kwenu japo ni suala la mtu binafsi.
Neno langu siyo sheria hivyo sina maana kwamba nataka watu wabadili faragha zao lah! Nataka kuwasilisha kulingana na maono yangu.
Baadhi yetu tumepiga kufuli kwenye akaunti zetu humu ndani kila mmoja akiwa na sababu zake za msingi na anazojua yeye mwenyewe kwanini afanye hivyo. Ila nikiwa nimetulia nimewaza na kuona huu ni uoga na kutokujiamini kwa mtu. PM unaweza kupokea taarifa kutoka kwa mtu na siyo lazima ujibu ila anaweza kusoma alichoandikiwa.
Sasa baada ya kutafakari kwa kina nimeona sina haja ya kufanya hivyo kwani nina option mbili (kujibu au kutokujibu).
Neno langu siyo sheria.
Huwenda kwa wengine wenye tabia ya kufuatilia wanawake humu ila sijaona haja ya mtu kufanya hivyo kama anaamini ana uwezo wa kujisimamia.Nina wasiwasi wapo mademu wamefunga PM sasa imewaudhi wengi sana. Hata hivyo wengine sio kwamba wanasumbuliwa au nini wanaamua tu kufunga PM ili nao waonekane wanafunga eti kukwepa kusumbuliwa,
No probsYou need to teach me how to do all of these
Huwenda kwa wengine wenye tabia ya kufuatilia wanawake humu ila sijaona haja ya mtu kufanya hivyo kama anaamini ana uwezo wa kujisimamia.
Mwanzoni niliwahi kupokea PM kadhaa na ninazisoma na kufuta kwa sababu sioni haja ya kureply.
Suala la mademu kufunga PM zao na wao waonekane wanakwepa usumbufu wa kutumiwa meseji sijui kama ni kweli japo kila mmoja ana sababu zake za kufunga.
Sasa na sisi tunaofreeze last seen je??Anayefunga PM hana tofauti na yule anaetoa whatsApp last seen....wote naonaga ni watoto tu.
Just kutumia uhuru wao. Jiulize kwanini founders wameweka options ya kufunga??
Kwani wewe hujafunga?Ngoja waje wenyewe waliofunga
Wewe ni mchochezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maxence Melo tuanzishie JF PESA transfer iwe inafanyika PM tu halafu tuone kama hizo PM zitakuwa zinafungwa muda wote.
Madume nayo yamo siyo ninyi tu.Hivi wanofunga pm ni wanawake tu?
Nimefreeez last seen
Nmehide blue ticks
Nmehide second tick
Nmehide jina langu kuappear kwenye viewers list
Nmehide typing and recording VN
[emoji13]
Yote hayo kisa nini ndoa au??Mwisho utaji hide mwenyewe, utajitafuta hutojiona ukitaamaki 40s game over. Watu wanang'oa magori, mabaharia wameamisha kiwanja....utawaita kwa filimbi.
Yaani we jamaa bhana kwahiyo umeona wanawake wanapenda sana pesa si eti??Maxence Melo tuanzishie JF PESA transfer iwe inafanyika PM tu halafu tuone kama hizo PM zitakuwa zinafungwa muda wote.
Mchochezi ni anayefunga PM muda wote, ulitangaza kuhitaji mume huku PM ikiwa imefungwa mabaharia walilalamika ukakomaa wengine walilalamika kimya kimya. Fungua pmWewe ni mchochezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naanzaje kufungaKwani wewe hujafunga?
Yaani we jamaa bhana kwahiyo umeona wanawake wanapenda sana pesa si eti??