Utu uzima dawa dearNapafahamu kabisa si unaona siku hizi sikulaumu tena, wala sikuongopei tena kishamba, ni love-to-love.
Mi niko poa kabisa ila niko uku milimani kuna kaubaridi hivi, wishing ungekuwepo kwa karibu hapa...
ππ inasaidia mambo madogo madogo[emoji23][emoji23]uko kama mimi yaani sitaki ujinga
Be positive, sio wanawake ndio wanashida ya ndoa hata wanaume pia tuna shida ya ndoa ndio mana love connect tupo mchanganyiko, vile vile kuna wengine wanafanya joking na wengine wapo serious ilo lipo wazi linaeleweka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huoni hapo kwenye kusoma na kufuta bila kureply ni kujipa kazi zisizo za msingi?Huwenda kwa wengine wenye tabia ya kufuatilia wanawake humu ila sijaona haja ya mtu kufanya hivyo kama anaamini ana uwezo wa kujisimamia.
Mwanzoni niliwahi kupokea PM kadhaa na ninazisoma na kufuta kwa sababu sioni haja ya kureply.
Suala la mademu kufunga PM zao na wao waonekane wanakwepa usumbufu wa kutumiwa meseji sijui kama ni kweli japo kila mmoja ana sababu zake za kufunga.
nimeshangaa automaticallyEti mkuu umeniita au
Kilichokushangaza ni nini mkuunimeshangaa automatically
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mamie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo ni swali au jibu fungua bwana mm hata sijibugi watu mtu akinitext salaam nitamjibu nikiona anaendelea simjibu hata atajua mwenyewe
Ni kweli kabisa Shadeeya nipo nimejaa tele nadhani mkuu sumbai tutakua tunapishana tu kwenye majukwaaNipo jirani mambo tu ndio mengi saa zingine.
Sesten Zakazaka yupo kajaa tele itakuwa mnapishana tu jirani.
Hivi upo kweliNipo jirani mambo tu ndio mengi saa zingine.
Sesten Zakazaka yupo kajaa tele itakuwa mnapishana tu jirani.
Nipo Dada nmejaa tele.Hivi upo kweli
Wewe hujafunga nije huko?Ngoja waje wenyewe waliofunga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa nguvu dada ukiona hivyo ujue nipo lindo nimeingia night shiftNipo Dada nmejaa tele.
Kila nikiingia Alfajiri naona umepost usiku nkajua haupo Tanzania basi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uje kufanya niniWewe hujafunga nije huko?
Sumbawanga mkuuPm ni wapi wakuu?
Hahahahaaa. Hapo sawa Dada ake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa nguvu dada ukiona hivyo ujue nipo lindo nimeingia night shift
Sumbawanga mkuu