Mi nlishasema sichangii harusiKumeibuka wimbi la vijana wanaooa hasa hawa wanaoishi mijini, kupitisha michango ya harusi bila kusema harusi itafanyikia wapi?
Mtu unaletewa kadi ya mchango, au kundi linaanzishwa whatsap unajikuta umeongezwa mnahamasishwa sana kuchanga kwasababu kutoa ni moyo sio utajiri. Ukiuliza bajeti unaambiwa milioni 20 ila kamwe hauambiwi harusi itafanyikia wapi..!
Mwishoooni kabisa mtu umeshajikamua umechanga laki yako, ndio unaletewa kadi ya mwaliko huku ikisema "harusi itafungwa siku ya jumamosi saa nne asubuhi huko Songea na baadae kufuatiwa na tafrija katika ukumbi wa Mpitimbi Secondari School! Kufika kwako ndio furaha yetu"
Jamani, huu si wizi? Kwanini msiseme mapema kwamba harusi itafanyikia wapi ili watu tuchange accordingly? Acheni hizo bana..!
Hii michango ya harusi haijawahi kuniingia akilini kabisa.

Harusi itafanyika kilimasera [emoji23][emoji23][emoji23]Kumeibuka wimbi la vijana wanaooa hasa hawa wanaoishi mijini, kupitisha michango ya harusi bila kusema harusi itafanyikia wapi?
Mtu unaletewa kadi ya mchango, au kundi linaanzishwa whatsap unajikuta umeongezwa mnahamasishwa sana kuchanga kwasababu kutoa ni moyo sio utajiri. Ukiuliza bajeti unaambiwa milioni 20 ila kamwe hauambiwi harusi itafanyikia wapi..!
Mwishoooni kabisa mtu umeshajikamua umechanga laki yako, ndio unaletewa kadi ya mwaliko huku ikisema "harusi itafungwa siku ya jumamosi saa nne asubuhi huko Songea na baadae kufuatiwa na tafrija katika ukumbi wa Mpitimbi Secondari School! Kufika kwako ndio furaha yetu"
Jamani, huu si wizi? Kwanini msiseme mapema kwamba harusi itafanyikia wapi ili watu tuchange accordingly? Acheni hizo bana..!
Kumeibuka wimbi la vijana wanaooa hasa hawa wanaoishi mijini, kupitisha michango ya harusi bila kusema harusi itafanyikia wapi?
Mtu unaletewa kadi ya mchango, au kundi linaanzishwa whatsap unajikuta umeongezwa mnahamasishwa sana kuchanga kwasababu kutoa ni moyo sio utajiri. Ukiuliza bajeti unaambiwa milioni 20 ila kamwe hauambiwi harusi itafanyikia wapi..!
Mwishoooni kabisa mtu umeshajikamua umechanga laki yako, ndio unaletewa kadi ya mwaliko huku ikisema "harusi itafungwa siku ya jumamosi saa nne asubuhi huko Songea na baadae kufuatiwa na tafrija katika ukumbi wa Mpitimbi Secondari School! Kufika kwako ndio furaha yetu"
Jamani, huu si wizi? Kwanini msiseme mapema kwamba harusi itafanyikia wapi ili watu tuchange accordingly? Acheni hizo bana..!
Mkuu siku hiz hiyo 50k ni single wala sio double.Hii michango ya kutoa elfu 50 double na kwa hali hii ya uchumi wa kati hapana kwa kweli.
Mmmh nimecheka sana wamegeuza mtajiKumeibuka wimbi la vijana wanaooa hasa hawa wanaoishi mijini, kupitisha michango ya harusi bila kusema harusi itafanyikia wapi?
Mtu unaletewa kadi ya mchango, au kundi linaanzishwa whatsap unajikuta umeongezwa mnahamasishwa sana kuchanga kwasababu kutoa ni moyo sio utajiri. Ukiuliza bajeti unaambiwa milioni 20 ila kamwe hauambiwi harusi itafanyikia wapi..!
Mwishoooni kabisa mtu umeshajikamua umechanga laki yako, ndio unaletewa kadi ya mwaliko huku ikisema "harusi itafungwa siku ya jumamosi saa nne asubuhi huko Songea na baadae kufuatiwa na tafrija katika ukumbi wa Mpitimbi Secondari School! Kufika kwako ndio furaha yetu"
Jamani, huu si wizi? Kwanini msiseme mapema kwamba harusi itafanyikia wapi ili watu tuchange accordingly? Acheni hizo bana..!
Daah haya yapo aiseeKumeibuka wimbi la vijana wanaooa hasa hawa wanaoishi mijini, kupitisha michango ya harusi bila kusema harusi itafanyikia wapi?