TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,767 Reaction score 20,869 Oct 24, 2020 Thread starter #21 muhomakilo jr said: Ipi mbinu mzuri ya kuikimbia michango?,maana wengine wanabeba kadi huko,ndoa sio yake ya ndugu yake.... Click to expand... Hii mimi ndio hua sihangaiki
muhomakilo jr said: Ipi mbinu mzuri ya kuikimbia michango?,maana wengine wanabeba kadi huko,ndoa sio yake ya ndugu yake.... Click to expand... Hii mimi ndio hua sihangaiki
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,767 Reaction score 20,869 Oct 24, 2020 Thread starter #22 tochi 28 said: Unachanga 50k then unakunywa bia nne..😂😂 Click to expand... Si bora sasa upate hizo bia. Unachanga 50k ukifika unakuta ni harusi ya soda na juisi 😀😀
tochi 28 said: Unachanga 50k then unakunywa bia nne..😂😂 Click to expand... Si bora sasa upate hizo bia. Unachanga 50k ukifika unakuta ni harusi ya soda na juisi 😀😀