Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Umetapeliwa kijinga kwa sababu wewe ni mpuuzi.
Huyo tapeli aliyekupigia simu huenda alikuwa pale pale mlimani city ulipokuwa unahangaika kutoa pesa, akawa anakuchora tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanisoma vyema katikati ya mistari , umekurupuka sasa hapo mpuuzi ni nani?
Hebu rudia kusoma nilichoandika!
Halafu wewe ukute ndiye yule jamaa aisee maana umehamaki sana!
Sasa mimi nitazaa na wewe [emoji123][emoji123]
Nitainunua hii case nakwambia!
Ni ama arudishiwe hela yake la sivyo jamaa itamgharimu sana si vema nikafunguka kwa kila kitu hapa nikaharibu uchunguzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamaa amekupa mwanga wa upelelezi wako
Ndugu natamani usajili wa laini kwa alama za vidole utusaidie kwa haya lakini ukweli ni kwamba siamini kama utapunguza hili tatizo maana mwazon tuliambiwa kuwa usajili fulani ukifanyika basi wizi utakoma kwa njia za simu, ila hamna nakumbuka zamani tulikuwa tunanunua laini tunaweka tu kwenye sim ndo wakaleta usajili mara kupiga picha ila hadi leo wizi uko pale paleLete uthibitisho
Mabadiliko huja na maumivu,kama serikali imeona sawa basi acha yaje
Tunataka kuondokana na wale nitumie kwenye namba hii na wanaofoji matamko
Kwenye uchaguzi wa 2015 tulipata tabu sana mara tuambiwe lowassa kajitoa,jioni unaona tweet ya sefu kajitangazia urais
Bila ya kusajili line kwa alama za vidole,watanzania huwawezi
Kusajili line awajaanza Leo walla kesho sio mwisho next time watasajili kwa bloodgroupBana likasi,
Hawa jamaa ni wasumbufu sana walianza kufungia passport wanakupa passport imeandwikwa mwisho wa matumizi 2025 hata mwaka bado utasikia tamko maruku kutumia Passport za zamani utafikiri mpya wanakupa bure twishazoe usumbufu wazime hata leo
Mimi nimejipanga kutumia whatspp watu wangu wate nimeisha waambia wanifatute kwenye whatspp bahati mzuri mtaani kwetu kuna free wifi za kutosha buku buku za mawasiliano ya simu nazipangia matumizi mengine
Hawaelew hao mkuu,mwenyew hapa cjasajil ila kuna jamaa nshamset kesho anaenda nisajilia,je n wangap wanatumia njia hii ambayo xo sahihi?Mkuu huu mchakato hauwezi punguza uhalifu!
1...mpaka sasa kuna watu kibao wenye laini zilizosajiliwa kwa vitambulisho vya nida ambavyo si vyao na wenyenavyo hawajui!
Kwa hilo huoni kama muhalifu atafanya uhalifu kwa kujiamini zaidi?
2...kabla ya zoezi hili la nida tulisajili line kwa kutumia vitambulisha vya mpiga kura na driving license pasport nk.
Ni nn kimetokea? Vitambulisho tulivyotumia kabla haviaminiki? Kama hivi wanavyotoa sasa ambavyo baadae kdg tu watakuja na kusema haviaminiki tena!
Kumbuka kitambulisho cha taifa cha kabla ya hiki cha sasa!
3...simu kabla haijawekwa line huwa tayari ina namba yake, na mtu akienda kinyume na mapenzi yao kwenye mitandao huwa wanakamata mara moja!
Ni mhalifu yupi ambae wameshindwa kumpata mpaka mpaka watusumbue kiasi hiki?
4...Kuna tishio gani kubwa la uhalifu mpaka watoe deadline!?
Ushauri wangu.... Kama wana nia njema wangejikita zaidi kutoa vitambulisho na kuhakikisha kila mtanzania anayestahili anakuwanacho kama walivofanya kwenye vitambulisho vya mpiga kura.
Sio kulazimisha kwa kuwafungia watu line!
Wakati hata uwezo wao wa kutoa vitambulisho bado ni mdogo sana!
Hivi vitambulisho kazi yake ni kusajilia line!?
Nimeshaanza kutoa hela zangu zote zilizopo kwenye line zangu, nitaziweka nyumbani. Nimeshanunua line moja ya kuchakachua na nyingine ya safaricom, nitatumia mpaka hali ikiwa shwari. Ikifika hiyo tr. 20 wafunge tu!
Sent using Redmi Y2
Wasipoongeza lazima watakuwa ni mapopoma
Atasajili lakini kwa kutumia alama za vidole.Kwani kuna haja gani ya kyfanya haraka zoezi la usajiri au wanapiga mikwara tu?? Kwani mtu atakayenunua laini tar 21 januari hatasajiri kwa kuwa usajiri umefungwa?? Kama atasajiri sasa hataka ya nini kuzima laini za watu.
Vita ya uchumi ccm vs ccm.
Hopeless leaders
Yakoje?Yani ungejua mapato yalivyo sasa