Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Ukiona hivyo huyo siyo Muislam, ni shetani mkubwa anayejificha kwenye joho la Uislam.

Matapeli hao wamekudanganya kuwa ni waganga wa kienyeji, wanatumia advantage ya ujinga wenu.

Wajinga ndiyo waliwao.
Kwanini hamtaki kukubali hao matapeli wapo hata katika ukristo? Ikitokea kwenu mnawatenga na usilam ila ikitokea katika ukristo mnachukulia ukristo ndivyo ulivyo! Punguzeni chuki. Ukristo umetamka wazi: watakuja manabii wa uongo nao watadanganya wengi.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mbona hiyo ipo hata katika Uislam? Vita ya misikiti kila siku, wanajenga shule na vyuo lkn bei zake si rafiki kwa waumini masikini. Kifupi binadamu ni walewale

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mwoposa anapewa nguvu na Serikali nothing else hakuna cha kusema mafuta ya Upako sijui keki ya Upako sijui Udongo wa Upako maji ya Upako vyote fiksi tupu Serikali ndio inayompa airtime akizingua Serikali ndio Mwisho wake wa kupewa airtime km anabisha aizingue Serikali alafu mtaniambia km ana Mafuta Upako au ana Mafuta ya Ukoko
 
Mbona hiyo ipo hata katika Uislam? Vita ya misikiti kila siku, wanajenga shule na vyuo lkn bei zake si rafiki kwa waumini masikini. Kifupi binadamu ni walewale

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Wewe tulia alafu njoo huku nikuongezee vitasa sio unakimbia kimbia kila mtu unamparamia tulia sehemu moja
 
Wewe tu kupumua ni muujiza.
 
Wewe tu kupumua ni muujiza.
Hata kujamba na kutoa Hewa chafu ni muujiza tosha hakuna anaejamba alafu akatoa Hewa ya manukato hata huyo Mwoposa akijamba pale mazobauni Hewa inayotoka ni ya ukaa asije akawaambia ushuzi wake ni wa Upako mkaanza kujambiwa
 
Hata Mungu ana akili na maarifa, anajua ni Kwa namna ipi na miinya ipi ya kuwalinda watumishi wake, anajua Kila kitu na mbinu zp atumie ili watumishi wake wadum ktk kueneza injili.
 
Hata Mungu ana akili na maarifa, anajua ni Kwa namna ipi na miinya ipi ya kuwalinda watumishi wake, anajua Kila kitu na mbinu zp atumie ili watumishi wake wadum ktk kueneza injili.
Haya mwambieni aikorofishe Serikali sasa uone nguvu iliyopo kwenye Mafuta km inafanya kazi apokonywe tu kibari cha kufanya mikutano kwisha Habari
 
Haya mwambieni aikorofishe Serikali sasa uone nguvu iliyopo kwenye Mafuta km inafanya kazi apokonywe tu kibari cha kufanya mikutano kwisha Habari
Hawawezi kumpokonya maana wanajua umuhim wake na huduma zake. Hata Israel na marekani hawawezi kukorofishana hata siku moja maana wanajua umuhim wao Kwa wao
 
Hawa wajinga huwezi kuwaelewesha wakaelewa. Kwasababu ujinga wao umekomaa na kuwa upumbavu
 
Hata Mungu ana akili na maarifa, anajua ni Kwa namna ipi na miinya ipi ya kuwalinda watumishi wake, anajua Kila kitu na mbinu zp atumie ili watumishi wake wadum ktk kueneza injili.
Hakuna injili yoyote anayohubiri Mwamposa, ni ujinga wetu tu ndio unamnufaisha. Yaani zaidi ya 40% ya muda ni ushuhuda, 55% ni kutoa sadaka na matoleo, 5% ni kukupitisha kwenye biblia. Yaani kwa akili yako huwezi kukaa ukaisoma hiyo biblia ukapiga magoti na kumuomba na kumshukuru muumba wako. Unaamua tu kumkabidhi akili yako yote mtu usiyeijua hata background yake.
 
Hautokuta msikiti ukifanya hivyo, hayo utayakuta kanisani tu.
 
Na ukichukulia udongo ni madini
 
We Mzee mboni unajichanganya changanya namna hio umepatwa na nini maana huku UPO na huko upo fyuzi zipo Sawa kweli kichwani humo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…