Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

mI NILIANZA KUMWOGOPA

MAHUBIRI YAKE YA USIKU YAAN USIKUWAMANANE TU NDIO ANAFUFUA WAFUUU

2.KTK KUSIKILIZA USIKU NIKASIKIA PIGA NO ...JMJKXODBS

YAAN TOKA SIKUHIOO WIKI 7 HAIJAWAHI KUPATIKANA ILE NAMBA NKAJUA HAPA WANAOPATIKANA WAMESETIWA

3.ZILE MAOMBI ZA USIKU ZILIKUWA N FEKI MANAGER WA FURAHA REDIO ALINICHEKSHA SANA

BAADAE NKAGWATILIA NKAJUTAAA SANA

YAAN NILISIKIA MAOMBI YA USIKU ILIKUWA JNNE..MNS KESHO YAKE JTANO

WAKATI ANAONDOKA AKASEMA NAOMBA NIKUKARIBISHE IBADAN KESHO MAPEMAA SIKUYA JPILI TAFADHALI NAOMBA MSIKOSE KUJA NA SADAKAA MAALUM

KHA NKASEMA MBONA MAKUBWA JNNE KESHO JTANO IMEKUWA JPILI.......

KICHEKECHO CHA PILI HIKI NILIPASUA NA KAREDIO KANGU SIKURUDIA TENAAA

YAAN BAADA YA MAHUBIRI ILIKUWA N APRIL AKASEMA MWISHON NAKWAMBIA 2024 MWAKA WA NEEMA NJOO MWAKAMPYA NA SADAKAA YA KUFUNGUA MWAKA MPYA....TUTAKUWA NA MAOMBI MAKUBWA...MWAKAMMPYA HAHAHAAA NKASEMA KUMBE HIZI MAMBO ZINAREKODIWA HATA ZIKE SIMU ZINAREKODIWAGA KWANZA NDIO WANAPELEKA REDION LOH
 
pongezi kubwa kwa kufungia huyu mcongo mchawi. hata tofauti na wapiga ramri chonganishi.
 
Probably. Mtu akiunga mkono CCM hata akiwalisha watu ma.vi bado CCM itamkumbatia.
Alivyosikiaaaa wanakaribia kumkamatqa akaanza kualika madc na das na ocd kanisani kwakeee akijua watamsaidiaa mbwahuyu
 
Anavaa hivi kuficha sugu za mkologo
Kuna siku alimwambia mchungaji mmoja hapo kanisani kwake wakati anamtimua muda wa ibada kiwa yeye kiboko ya wachawi anamzidi kila kitu hadi dhambi

USSR
Na ndooo chanzo cha kufungiwa mkuu huyu jamaa n best wangu sana anajua siri nyingi za kiboko

Watu tukamseti akajiachia mamboo mengi sana sana na ndie aliesaidia kufungiwa hili kanisa nae n mkongo mwenzie
.baadae jamaa tukamshauri ahame anapokaa akahama usiku wa manage

Keshookutwa yakee kibokoo anakulaaa chumaaaaa.....

Unaambiwa na nambaa amebadilishiwa kijama kwa kazi nzuri....jamaa alifwatwaa akakamatwa akaenda kujieleza alipokamatwa akaomba awapigie jamaa zake akapiga kwa past Mutumbaaa mamaeee haipatikan akaombaa ndugu kadhaaa wamtafute mutumbaaa not reachable......

Nxty immigration na alietoa Kibaliii kanisa lileee wakoo matatatan
 
Kulifungia hilo genge lake tu haitoshi huyu ataifishiwe mali zote alizzopata kitapeli kisha arudishwe kwao DRC. Na kuna mwingine pale Mwenge Mpakani anaitwa James Nyakia huyu naye ni tapeli mkubwa anayedai kufanya vipimo vya X-Ray,Utra Sound,MRI na CT Scan kwa kutumia viganja vya mikono yake,anawapiga hela ndefu watu na analaza watu hapo kilingeni kwake
PI INAMHUSU NAWAZA IMMIGRATION SIJUI WANAFANYA NN MPAKA SASA
 
Awali ya yote napenda kuipongeza serikali yetu Kwa kuwa kulifunguia
KANISA la KIBOKO ya WACHAWI kwani hata jina tu.

Linaonesha mahubir yake hayasadifu neno la Mungu ni uamuzi ambayo umekuja Kwa wakati sahihi, Kwan Kuna msemo unasema Kinga Bora kuliko tiba.

Hivyo tujiadhari kabla maafa hayajotekea, huyu mtu nilikuwa nikimfuatilia Kwa muda amekuwa na mahubir ambayo c mazur ambayo ni ramli chonganishi.

Kwanza mahubir yake ni ya kibabe, hata wanasali pale waumin wake ni wale ambayo hawajitambui, hivyo serikali Haina budi kuokoa jamii kama hiyo,kwani ipo siku wataambiwa Kila muumin akate kidole chake aje nacho kanisani😁 na wao wakatii Kwan watu wanaanamia Kwa kukosa maarifa,nimemuona mke wake analalamika Kwa kutaka huruma.

Kwanini kipindi anafanya maovu hakumshauri na wale waumin wake kamaten wachapwe fimbo na wawekwe mahabusu, kama anamahubiri ya kichawi aende akahubir Kongo

HONGERA SERIKALI KWA KUONA MBALI
 
😂😂😂
Wapiii wakati serikali ili freeze accounts zake ndio wakazichukua wakajengea hiyo barabara? Mbona Mzee wa upako aliumwa kisukari kabisa
uko sawa ile barabara Magufuli hakuijenga kwa sasa ni ya mzee wa Upako siku moja alikwenda kusali pale akatoa hiyo ahadi.Barabara huwezi iita ya mzee Upako wakati wanatumia wananchi
 
Huyo mkongomani ni mbishi anaendelea kupiga hela tokea Congo anatoa huduma kwa simu. Watu wajinga sana ngoja wazidi kumtajirisha huyu tapeli, Serikali imewasaidi kukifunga hicho kilinge chake lakini bado wanamfuata.
 
A pathetic country full of pathetic citizens. Kuondoa generational ignorance ni kazi ngumu sana.
 
Nani alimdanganya. Kua weupe. Ndo uzuri??? Hawa wakongo Wana shida sana kwa mtazamo wangu mwanzo alikua mzuri sana amejichubua Amelia betina ni kibako ya mashoga
 

Attachments

  • IMG-20240822-WA0009.jpg
    IMG-20240822-WA0009.jpg
    39.8 KB · Views: 2
Ty
 

Attachments

  • 1724308173651.jpg
    1724308173651.jpg
    295.1 KB · Views: 2
Nani alimdanganya. Kua weupe. Ndo uzuri??? Hawa wakongo Wana shida sana kwa mtazamo wangu mwanzo alikua mzuri sana amejichubua Amelia betina ni kibako ya mashoga
Load badala ya LORD! Kweli huyu ni tapeli!
 
Nililewa bila kunywa siku niliposimliwa na dada mmoja aliyewahi kuwa girlfriend wa nabii mmoja maarufu nchini mwenye kanisa lake njia ya kuelekea Tegeta kwamba jamaa mgongo wote kajaa machale makubwa na ya kutisha kabisa. Aliyapataje ni siri yake. Ila huyo nabii alimtisha mdada wa watu asithubutu kutoa nje hiyo siri ya machale yake. Tuwe makini na hawa wenye majina ya manabii, kuhani, prophets, mitume n.k.
 
Njia sahihi kwa mujibu wa maandiko ni watu kuitafuta kweli wenyewe. Kimsingi huduma nyingi sana ziko kinyume na maandiko, sema nyingine zimekiwa extreme. Serikali haina mamlaka ya kiroho kuamua nani ana hubiri kweli na nani anasema uongo, hiyo ni standard ya neno pekee. Labda kama serikali yetu ina dini.
Sawa sawa
 
Back
Top Bottom