Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Magufili marafiki Zake wengi walikuwa ni matapeliMwamposa alikuwa personal friend wa Magufuli ndiyo maana ile kesi ilikufa natural death.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufili marafiki Zake wengi walikuwa ni matapeliMwamposa alikuwa personal friend wa Magufuli ndiyo maana ile kesi ilikufa natural death.
Inaa maana Masha amefilisika kiasi hichoIle ilikuwa movie mkuu. Tayari Masha kala mpunga ili kumfanyia promo kiboko ya wachawi.
Inasemekana yupo juu ya mawe vibaya sana mkuu....yaani totally broke!Inaa maana Masha amefilisika kiasi hicho
Yule mcongoman ni kama kibu tuu,tapeliSema jamaa wa kiboko ya wachawi kakaa kicheck bob sana yaan mjanja wa mjini duuuh noma kweli
Ndio mkuuHuyu alitoa ushuhuda kwenye kanisa la huyu tapeli?
Basi huyu mtu hafai. Ikibidi hataafukuzwe nchini ili liwe fundisho kwa manabii wengine wa uongo.Ndio mkuu
Wivu tu wa ushindani na tishio la biashara ya kawe
Hahaa Ponde Kwa Fundi Baiskeli? Amefungua Kanisa? Huyo jamaa afukuzwe nchini.Tena wamechelewa sana!! Toka jana ameibukia mikwambe kwa pinda, waambie wamfuate na huko!! Ikiwezekana wamtimue kabisa nchini!! Ile sio dini bali ni uchonganishi na utapeli tu
Jamaa alikuwa ana hatarisha maisha ya watu ,hajui kwamba Masha ana Mguu wa Kuku? Je angetoka pale angeenda kumfumua Ubongo mkewe(Esther) ingekuwaje?Lawrence Masha aliambiwa karogwa na mkewe.😂😂😂
Jamaa ni mchonganishi Sana, Kuna watu anawaambia wamerogwa na wazazi zao. Halafu Kuna misukule ipo mule huiambii kitu.Jamaa alikuwa ana hatarisha maisha ya watu ,hajui kwamba Masha ana Mguu wa Kuku? Je angetoka pale angeenda kumfumua Ubongo mkewe(Esther) ingekuwaje?
Ni hatari sana. Yule alikuwa kama ana shida ya akili.Jamaa alikuwa ana hatarisha maisha ya watu ,hajui kwamba Masha ana Mguu wa Kuku? Je angetoka pale angeenda kumfumua Ubongo mkewe(Esther) ingekuwaje?
Hahaaaaa ulikereka sana naye mkuu. Inasikitisha sana.Ajabu na watu wanamuitikia Ameen,Mimi ningekuwa karibu yake ningempiga ngumi ya mdomo 😁
Yaaa!! Kuna ukumbi wa Katavi pale kwa pinda ndio amehamia huko toka juziHahaa Ponde Kwa Fundi Baiskeli? Amefungua Kanisa? Huyo jamaa afukuzwe nchini.
Yaaa!! Kuna ukumbi wa Katavi pale kwa pinda ndio amehamia huko toka juzi
Ni hatari sana. Yule alikuwa kama ana shida ya akili.