Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Sidhani kama kiboko ya wachawi ni worse zaidi kuliko waganga wa kienyeji ambao wanaua albino na watoto wadogo kwa kafara za wanasiasa.
Ingewakamata na kuwazuia waganga wa kienyeji jamii yetu ingepona sana
We uoni Ulaya wana maendeleo baada ya kuwaua wachawi na waganga wakapata jamii yenye fikra mpya.
 
Matapeli yapo mengi, yamejiingiza kwenye dini ili kuwalaghai watu wenye shida wasiojua kuyasoma na kuyaelewa maandiko matakatifu. Matapeli yanapotosha maandiko kwa wasiojua kupambanua roho wa Mungu na shetani, nuru na giza
 
Mchawi hatakiwi kuishi hata maandiko yanasema wauwawe sisi ni nani tunakataa kuwaua wachawi
 
Kama ni hivyo basi huo ni ushenzi na Mungu hayupo katika ushenzi huo. Hiyo ni abrakadabra tu. Mambo ya imani yanakuwa na EFD mashine na kodi inachukuliwa? Hata kama kaisari anapewa chake lakini si kwa namna hiyo
 
Kama ni hivyo basi huo ni ushenzi na Mungu hayupo katika ushenzi huo. Hiyo ni abrakadabra tu. Mambo ya imani yanakuwa na EFD mashine na kodi inachukuliwa? Hata kama kaisari anapewa chake lakini si kwa namna hiyo
 
Kama ni hivyo basi huo ni ushenzi na Mungu hayupo katika ushenzi huo. Hiyo ni abrakadabra tu. Mambo ya imani yanakuwa na EFD mashine na kodi inachukuliwa? Hata kama kaisari anapewa chake lakini si kwa namna hiyo
 
Matapeli yapo mengi, yamejiingiza kwenye dini ili kuwalaghai watu wenye shida wasiojua kuyasoma na kuyaelewa maandiko matakatifu. Matapeli yanapotosha maandiko kwa wasiojua kupambanua roho wa Mungu na shetani, nuru na giza
 
Matapeli yapo mengi, yamejiingiza kwenye dini ili kuwalaghai watu wenye shida wasiojua kuyasoma na kuyaelewa maandiko matakatifu. Matapeli yanapotosha maandiko kwa wasiojua kupambanua roho wa Mungu na shetani, nuru na giza
 
Huyo zile Sadaka zote anazilipia VAT na wale Waumini wanapewa risiti kabisa kila wakituma muamala EFD mashine IPO standby kila mtu ananunua mafuta na maji anakatiwa risiti kutoka TRA kiufupi Jamaa anaiingizia Serikali mapato Ile Siku aliyouza Udongo pale Taifa Serikali iliingiza Pesa nyingi sana TRA kwa kupitia EFD mashine kwani kila kijiko watu walilipia na risiti za EFD walipewa kwa hio Serikali kumfungia mtu km huyu mfanyabiashara mwenye mbwinu ya kucheza na akili za wasioelewa haiwezi kamwe sababu TRA inaingiza mapato mengi kupitia yeye akipiga show tu akajaza watu laki 5 TRA wanachekelea maana Pesa inaingia nyingi
 
Matapeli yapo mengi, yamejiingiza kwenye dini ili kuwalaghai watu wenye shida wasiojua kuyasoma na kuyaelewa maandiko matakatifu. Matapeli yanapotosha maandiko kwa wasiojua kupambanua roho wa Mungu na shetani, nuru na giza
 
Matapeli yapo mengi, yamejiingiza kwenye dini ili kuwalaghai watu wenye shida wasiojua kuyasoma na kuyaelewa maandiko matakatifu. Matapeli yanapotosha maandiko kwa wasiojua kupambanua roho wa Mungu na shetani, nuru na giza
 
It was just a matter of time. Kiboko ya wachawi amefanya sana usanii kwa muda mrefu. Kuna mtu wangu wa karibu aliniambia jinsi huyu jamaa anavyonunua watoa ushuhuda feki kwa lengo la kuvutia biashara yake. Mpuuzi sana huyu jamaa aisee!! Sina hamu naye.
Kama wajinga wapo tele shida nini.
Usipotaka kuyajua maandiko bure utayajua kwa kuyalipia
 
Back
Top Bottom