Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Huyu kama una 'abc' zake angalao kiundani hebu ziweke hapa ili wahusika wapate pa kuanzia.Ni yule anayedai viganja vya mikono yake vina uwezo wa kufanya vipimo vyote vinavyofanyika hospitalini kama vile X Ray,CT Scan, MRI na Utra Sound. Analaza wagonjwa kabisa hapo kwenye kilinge chake
Ni muda muafaka wa kufukua hawa panya.