Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Ni yule anayedai viganja vya mikono yake vina uwezo wa kufanya vipimo vyote vinavyofanyika hospitalini kama vile X Ray,CT Scan, MRI na Utra Sound. Analaza wagonjwa kabisa hapo kwenye kilinge chake
Huyu kama una 'abc' zake angalao kiundani hebu ziweke hapa ili wahusika wapate pa kuanzia.
Ni muda muafaka wa kufukua hawa panya.
 
Uislam huo wa maustaadhi wanaofira watoto madrasa!? Au wa kuuficha uchawi kwenye kivuli cha dua!? Masheikh woote ni waganga wa kienyeji mpaka hapo ushajua yupi sahihi na yupi si sahihi, anyaways hivi mtume Mudi si ndo alioa kitoto cha miaka 9? Na quran si ndo alishushiwa mapangoni na hayo mnayoyaita majini ambayo kwenu ni ndugu zenu katika imaani!?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app

Na ndio maana ni nadra sana kukuta wakikemea dhambi ya uchawi na ushirikina miongoni mwao.
Sababu ni walewale .

Yani ukitaka kukemea dhambi ya uchawi na ushirikina na Majini miongoni mwa waislam yataka uwe na zindiko la hali ya juu vinginevyo wanakushughulikia kigiza hapohapo 👌👌👌
 
Ila kimsingi makanisa yote niyakibiashara na sidhani kama wanaoenda kama kunakitu hawafanikiwi niwanaakili timamu hivyo mtu ajashikwa mkono kua atoe laki5 kama awezi anaacha naajalazimishwa kwenda nitamaa zake mwenyew napia inawezekana wanafanikiwa ndomn wanaazidi kwenda hivyo wangemwacha tu chamsingi alipe Kodi bac hakuna aliyeshikiwa fimbo
 
Ni yule anayedai viganja vya mikono yake vina uwezo wa kufanya vipimo vyote vinavyofanyika hospitalini kama vile X Ray,CT Scan, MRI na Utra Sound. Analaza wagonjwa kabisa hapo kwenye kilinge chake
Dah KMMK hv kumbe kuna watu wapumbavu hv 😂
 
It was just a matter of time. Kiboko ya wachawi amefanya sana usanii kwa muda mrefu. Kuna mtu wangu wa karibu aliniambia jinsi huyu jamaa anavyonunua watoa ushuhuda feki kwa lengo la kuvutia biashara yake. Mpuuzi sana huyu jamaa aisee!! Sina hamu naye.
Mwamposa mbona pia anafanya hhaya na hakamatwi au yeye ni special?
 
Mwamposa mbona pia anafanya hhaya na hakamatwi au yeye ni special?
Analipa Serikali pia ni Mwanachama Hai wa CCM ingawa ni mtu wa huko Zambia ukishavuka mpaka wa Tunduma kwa mbele sio Mnyakyusa wala Msafa
 
Uislam ndiyo dini pekee kwa Mwenyezi mungu.

Wewe hata jina 'wakristo" huelewi limetokea wapi.
Mungu Hana dini.

Uislamu ni dini ya tatu pale mashariki ya kati. Ulianza uyahudi,akatokea ukristo mwenye ubavu wa uyahudi kisha baadae kule uarabuni akajitokeza mtoto mwingine aliyeitwa uislamu.

Achana na stori za kujitetea kwamba uislamu ni dini tangu Adam. Hizo stori nje ya uislamu hakuna sehemu utapata ushahidi wa hiyo hoja.
 
Mafala hawaishi hata humu JF wamejaa kibao Wewe jifanye una shida na wakati huna shida Tunga Tunga sentensi ya uongo uongo weka bandiko JF chini weka Namba nakwambia kuna mafala kweli watakurushia Hela za miamala km hauamini kesho fanya jaribio zingatia kuweka Namba ya miamala utawapiga mafala kibao
Hao wenye huruma wanakuwaje mafala sasa?
 
Hao wenye huruma wanakuwaje mafala sasa?
Tulishafindishwa huruma ikizidi sana unageuzwa kua Fala, Wewe Masikini na Nwamposa nani anaestahiri kumgawia mwenzake Pesa Wewe una muhurumia Nwamposa kwa lipi kwa mfano?
 
Tulishafindishwa huruma ikizidi sana unageuzwa kua Fala, Wewe Masikini na Nwamposa nani anaestahiri kumgawia mwenzake Pesa Wewe una muhurumia Nwamposa kwa lipi kwa mfano?
Sasa mfano wako ulioutoa hauendani na hao wanapeleka kwa Mwamposa. Wewe ulisema mtu ajifanye ana shida! Kwani Mwamposa alishasema ana shida?
 
Sasa mfano wako ulioutoa hauendani na hao wanapeleka kwa Mwamposa. Wewe ulisema mtu ajifanye ana shida! Kwani Mwamposa alishasema ana shida?
Kwanini anakuuzia Maji na Mafuta km Hana shida si agawe bure
 
Back
Top Bottom