Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Huyo zile Sadaka zote anazilipia VAT na wale Waumini wanapewa risiti kabisa kila wakituma muamala EFD mashine IPO standby kila mtu ananunua mafuta na maji anakatiwa risiti kutoka TRA kiufupi Jamaa anaiingizia Serikali mapato Ile Siku aliyouza Udongo pale Taifa Serikali iliingiza Pesa nyingi sana TRA kwa kupitia EFD mashine kwani kila kijiko watu walilipia na risiti za EFD walipewa kwa hio Serikali kumfungia mtu km huyu mfanyabiashara mwenye mbwinu ya kucheza na akili za wasioelewa haiwezi kamwe sababu TRA inaingiza mapato mengi kupitia yeye akipiga show tu akajaza watu laki 5 TRA wanachekelea maana Pesa inaingia nyingi
 
Matapeli yapo mengi, yamejiingiza kwenye dini ili kuwalaghai watu wenye shida wasiojua kuyasoma na kuyaelewa maandiko matakatifu. Matapeli yanapotosha maandiko kwa wasiojua kupambanua roho wa Mungu na shetani, nuru na giza
 
Kama ni hivyo basi huo ni ushenzi na Mungu hayupo katika ushenzi huo. Hiyo ni abrakadabra tu. Mambo ya imani yanakuwa na EFD mashine na kodi inachukuliwa? Hata kama kaisari anapewa chake lakini si kwa namna hiyo
 
View attachment 3053355

Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo.

View attachment 3053498

Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

Ukristo umekuwa ukidharirishwa sana na watu wanaojiita watumishi wa Mungu lakini wakifanya mambo ya ajabu.

Tumeeona athari za imani potofu pale watu wengi wamekuwa wakipoteza maisha. Nampongeza sana rafiki yangu na aliyekuwa CR wangu pale chuoni Mr. Emmanuel Robert, msajili wa jumuiya za kijamii Kwa kazi nzuri inayoendelea kufanya. Unamuwakilisha vema Dr. Samia
Tena wamechelewa sana!! Toka jana ameibukia mikwambe kwa pinda, waambie wamfuate na huko!! Ikiwezekana wamtimue kabisa nchini!! Ile sio dini bali ni uchonganishi na utapeli tu
 
Bora hata mwamposa
Wivu tu wa ushindani na tishio la biashara ya kawe
Huyo kiboko ya wachawi alishamwambia mtu

"kuwa Hao watoto watatu,wawili sio wako mmoja ndio wako hakuishia hapo akamwambia mkeo ni mchawi anakuroga..."

Kama ni wewe umeambiwa hivyo utachukua hatua Gani?
 
Kwahiyo aliuza udongo kabisa na mkanunua na akalipa tra[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Na ukute ulivyokua mpumbavu wewe umenunua udongo huku una Shamba au ardhi heka 5+ unaenda kudanganywa na udongo wa upako toka wapi?
Kuna siku nimekunywa mafuta bakuli zima sijui mnaita ya upako kwa nabii mmoja maarufu tu ashafariki na yalikua mafuta ya kawaida tu ya mzeituni toka Italy.
ye kadanganya watu na wamelipa eti mafuta yaupako.yametoka kwa yesu.
Na walianguka wengi tu pale.
mi alishindwa kunidondosha
Mpaka hapa naandika sijaona mabadiliko yoyote yaliyoletwa na mafuta yale.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
 
Back
Top Bottom