Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Mwamposa anajua kuishibna watu wa Serikali na CCM kwa ujumla
 
Sawa,.
Ila wamechelewa sana,

Uharibifu aloufanya wa kuchonganisha familia ni mkubwa sana.

Serikali ichukue hatua za haraka kuyafunga makanisa yote ya namna hii na iyafute haraka kabla maadili hayajaharibiwa kwa itikadi za kishetani.


Hata makanisa yanayouza maji, Mafuta yote yafutwe au yasajiliwe kama makampuni ya kibiashara na yatozwe Kodi.
 
Yeye chakufanya arudi kwenye mfumo ccm sio wajinga watamfungulia huduma😄😄😄
 
Uislam huo wa maustaadhi wanaofira watoto madrasa!? Au wa kuuficha uchawi kwenye kivuli cha dua!? Masheikh woote ni waganga wa kienyeji mpaka hapo ushajua yupi sahihi na yupi si sahihi, anyaways hivi mtume Mudi si ndo alioa kitoto cha miaka 9? Na quran si ndo alishushiwa mapangoni na hayo mnayoyaita majini ambayo kwenu ni ndugu zenu katika imaani!?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kumbuka kiboko ya wachawi ni muislamu safi na kanisani kwake amejaza waislamu

USSR
 
Ukiona hivyo huyo siyo Muislam, ni shetani mkubwa anayejificha kwenye joho la Uislam.

Matapeli hao wamekudanganya kuwa ni waganga wa kienyeji, wanatumia advantage ya ujinga wenu.

Wajinga ndiyo waliwao.
Hata hao akina Mwamposa na Kiboko ya wachawi ni matapeli tu wanaotumia joho la Ukristo. Mkristo anayeijua Biblia hawezi kwenda kudanganywa na hao wahuni wanaofanya uganga na hayo siyo Makanisa bali ni vilinge vyao vya uganga tu.

Mchungaji Hananja kila siku anawaonya Wakristo na watu wote wasiende kwa hao matapeli. Huyo anayejiita Dominick au Kiboko cha wachawi ni Muislam jina lake halisi ni Hassan Wamba raia wa DRC.
 
Hata mwamposa ni tapeli tuu kama matapeli wengine eti anawalisha watu keki ya upako 🙄 na watu walivyo kua hawana maarifa ya neno la Mungu wanaenda
 
View attachment 3053355

Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo.

Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

Ukristo umekuwa ukidharirishwa sana na watu wanaojiita watumishi wa Mungu lakini wakifanya mambo ya ajabu.

Tumeeona athari za imani potofu pale watu wengi wamekuwa wakipoteza maisha. Nampongeza sana rafiki yangu na aliyekuwa CR wangu pale chuoni Mr. Emmanuel Robert, msajili wa jumuiya za kijamii Kwa kazi nzuri inayoendelea kufanya. Unamuwakilisha vema Dr. Samia
Cr anafanya vizuri
 
Makanisa yote yana ujanjaujanja sana ndani yake,juzi nimesikia KKKT wamegawanyika na sasa kuna kanisa jipya la KKKT Afrika Mashariki ambalo limeanzishwa na maaskofu waliokuwa KKKT,iyo tisa Kuna shule ambazo wanajenga kwa sadaka za waumini ila muumini masikini hawezi kusomesha mwanae kwasababu ada ni mlima na wala hawasomeshi Bure watoto wa waumini masikini!!
 
Hata mwamposa ni tapeli tuu kama matapeli wengine eti anawalisha watu keki ya upako 🙄 na watu walivyo kua hawana maarifa ya neno la Mungu wanaenda
Mwamposa Alionekana na Makonda Huko Arusha kwenye maandalizi ya Mashindano Ya Pikipiki.
Je Huenda Gambo anasingiziwa?
 
Huyo zile Sadaka zote anazilipia VAT na wale Waumini wanapewa risiti kabisa kila wakituma muamala EFD mashine IPO standby kila mtu ananunua mafuta na maji anakatiwa risiti kutoka TRA kiufupi Jamaa anaiingizia Serikali mapato Ile Siku aliyouza Udongo pale Taifa Serikali iliingiza Pesa nyingi sana TRA kwa kupitia EFD mashine kwani kila kijiko watu walilipia na risiti za EFD walipewa kwa hio Serikali kumfungia mtu km huyu mfanyabiashara mwenye mbwinu ya kucheza na akili za wasioelewa haiwezi kamwe sababu TRA inaingiza mapato mengi kupitia yeye akipiga show tu akajaza watu laki 5 TRA wanachekelea maana Pesa inaingia nyingi
Aisee, are u serious?
 
Qur'an haina ujinga huo, aliyekwambia anatumia Qur'an kufanya "uganga wa kienyeji" kakutapeli huyo.

Isome Qur'an kijana, usidanganywe kijinga.
Maimaam, Maustaadhi na Masheikh ndo waganga wetu huku mtaani, wanatumja kitabu kipi? Kwenye vilinge vyao tunaona wanafungu hicho kitabu surat yasini na surat kibao tu. Uislam na Ushirikina = Ndugu wa damu.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom