Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 557
- 858
INJILI ni uweza uletao wokovu, huyu alikuwa na agenda zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]akina steve nyerere ndo makini.Takataka mbn mnaziokota jalalani mmesahau?Takataka kama hizi huwezi Kuta CCM labda chadema
Usisahau hata yule Mzee wa Kikombe ambacho jamaa pia alikinywa!Mzee wa Upako alijengewa hadi barabara na Magufuli
Kumbuka kiboko ya wachawi ni muislamu safi na kanisani kwake amejaza waislamuUislam huo wa maustaadhi wanaofira watoto madrasa!? Au wa kuuficha uchawi kwenye kivuli cha dua!? Masheikh woote ni waganga wa kienyeji mpaka hapo ushajua yupi sahihi na yupi si sahihi, anyaways hivi mtume Mudi si ndo alioa kitoto cha miaka 9? Na quran si ndo alishushiwa mapangoni na hayo mnayoyaita majini ambayo kwenu ni ndugu zenu katika imaani!?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hata hao akina Mwamposa na Kiboko ya wachawi ni matapeli tu wanaotumia joho la Ukristo. Mkristo anayeijua Biblia hawezi kwenda kudanganywa na hao wahuni wanaofanya uganga na hayo siyo Makanisa bali ni vilinge vyao vya uganga tu.Ukiona hivyo huyo siyo Muislam, ni shetani mkubwa anayejificha kwenye joho la Uislam.
Matapeli hao wamekudanganya kuwa ni waganga wa kienyeji, wanatumia advantage ya ujinga wenu.
Wajinga ndiyo waliwao.
Cr anafanya vizuriView attachment 3053355
Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo.
Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"
Ukristo umekuwa ukidharirishwa sana na watu wanaojiita watumishi wa Mungu lakini wakifanya mambo ya ajabu.
Tumeeona athari za imani potofu pale watu wengi wamekuwa wakipoteza maisha. Nampongeza sana rafiki yangu na aliyekuwa CR wangu pale chuoni Mr. Emmanuel Robert, msajili wa jumuiya za kijamii Kwa kazi nzuri inayoendelea kufanya. Unamuwakilisha vema Dr. Samia
Mwamposa Alionekana na Makonda Huko Arusha kwenye maandalizi ya Mashindano Ya Pikipiki.Hata mwamposa ni tapeli tuu kama matapeli wengine eti anawalisha watu keki ya upako 🙄 na watu walivyo kua hawana maarifa ya neno la Mungu wanaenda
Huyo naye kuna wakati anakuwa hana tofauti na Mwashambwa Lucas, kila kitu wanaingiza mavyama yao ya kisiasa tu.Akili yako muda mwingine inabidi itiliwe shaka
Mpaka RC anatumwa na mkuu wa kaya kupeleka bahasha nono madhabauni si mchezo, amejua kweli kuishi na viongozi kwa adabu.Mwamposa anajua kuishibna watu wa Serikali na CCM kwa ujumla
Aisee, are u serious?Huyo zile Sadaka zote anazilipia VAT na wale Waumini wanapewa risiti kabisa kila wakituma muamala EFD mashine IPO standby kila mtu ananunua mafuta na maji anakatiwa risiti kutoka TRA kiufupi Jamaa anaiingizia Serikali mapato Ile Siku aliyouza Udongo pale Taifa Serikali iliingiza Pesa nyingi sana TRA kwa kupitia EFD mashine kwani kila kijiko watu walilipia na risiti za EFD walipewa kwa hio Serikali kumfungia mtu km huyu mfanyabiashara mwenye mbwinu ya kucheza na akili za wasioelewa haiwezi kamwe sababu TRA inaingiza mapato mengi kupitia yeye akipiga show tu akajaza watu laki 5 TRA wanachekelea maana Pesa inaingia nyingi
Maimaam, Maustaadhi na Masheikh ndo waganga wetu huku mtaani, wanatumja kitabu kipi? Kwenye vilinge vyao tunaona wanafungu hicho kitabu surat yasini na surat kibao tu. Uislam na Ushirikina = Ndugu wa damu.Qur'an haina ujinga huo, aliyekwambia anatumia Qur'an kufanya "uganga wa kienyeji" kakutapeli huyo.
Isome Qur'an kijana, usidanganywe kijinga.
Kwa nini hao masheikh hawafungiwi na serikali??Qur'an haina ujinga huo, aliyekwambia anatumia Qur'an kufanya "uganga wa kienyeji" kakutapeli huyo.
Isome Qur'an kijana, usidanganywe kijinga.