Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Kwanini hamtaki kukubali hao matapeli wapo hata katika ukristo? Ikitokea kwenu mnawatenga na usilam ila ikitokea katika ukristo mnachukulia ukristo ndivyo ulivyo! Punguzeni chuki. Ukristo umetamka wazi: watakuja manabii wa uongo nao watadanganya wengi.Ukiona hivyo huyo siyo Muislam, ni shetani mkubwa anayejificha kwenye joho la Uislam.
Matapeli hao wamekudanganya kuwa ni waganga wa kienyeji, wanatumia advantage ya ujinga wenu.
Wajinga ndiyo waliwao.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app