Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

It was just a matter of time. Kiboko ya wachawi amefanya sana usanii kwa muda mrefu. Kuna mtu wangu wa karibu aliniambia jinsi huyu jamaa anavyonunua watoa ushuhuda feki kwa lengo la kuvutia biashara yake. Mpuuzi sana huyu jamaa aisee!! Sina hamu naye.
 
Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo. Ukristo umekuwa ukidharirishwa sana na watu wanaojiita watumishi wa Mungu lakini wakifanya mambo ya ajabu. Tumeeona athari za imani potofu pale watu wengi wamekuwa wakipoteza maisha. Nampongeza sana rafiki yangu na aliyekuwa CR wangu pale chuoni Mr. Emmanuel Robert, msajili wa jumuiya za kijamii Kwa kazi nzuri inayoendelea kufanya. Unamuwakilisha vema Dr. Samia
Safi
 
Back
Top Bottom