KUFUNGIWA REDIO IMAAN NA NYINGINEZO: haki haijatendwa!

KUFUNGIWA REDIO IMAAN NA NYINGINEZO: haki haijatendwa!

inaelekea hujawahi kuisikiliza hiyo redio. mimi siyo mfanyakazi wa redio imaan. nimeleta mada hii kwa sababu leo redio imaan kesho zitakua redio nyingine. hoja yangu ni kwamba kuwe na sababu zenye mantiki za kukifungia chombo cha habari. leo hii watu wanalalamika kuhusu gazeti la mwanahalisi..........

umewahi kuisikiliza redio imaan? una uhakika kuwa mimi ni muislamu? jenga hoja acha ushabiki wa kijiweni

nilikua naskiza QUR'AN USIKU MZIMA,SASA TCRA WANANILAZIMISHA NISIKE UPUUZ WA REDIO ZAO ZA KITWAHUTI.
TUNAISHUKURU REDIO imaan imetupasha mengi sana tusokua tunayajua,na serikali haijawah kupinga hata jambo moja linalozungumziwa,sijawah kusikia eti kuna jambo la UZUSHI LIMEONGELEWA NA REDIO IMAAN.NDO MAANA HOJA YA SENSA HAINA MASHIKO.
KAMA HOJA YA SENSA NA MAGAZETI YALIIPINGA,AN-NUR NA AL-HUDA,
nadhan sasa tumejifunza kuwa watawala hawapendi UKWELI
 
kuna ubaya wowote kuzungumzia mfumo uwe wa kiislamu au kikristo? mtu kusema anaonewa ni kosa!? waislamu walichunguza na kuona kuwa baraza la mitihani lilifelisha watoto wa kiislamu makusudi katika mtihani wa islamic knowledge. baraza lilikiri na kusema lilikua kosa la kompyuta. pana madai kuwa katika bodi ya NECTA na wana kamati hakuna muislamu hata mmoja. redio ya kiislamu kuongelea suala hilo ni majungu / kosa!?

kwa nini kwa mwanasiasa kuchunguza jambo ni sahihi lakini kwa redio ya dini kuchunguza tatizo linalo athiri dini husika kwa hoja kwa liwe kosa?

naomba unijibu kuhusu madai yaliyotolewa dhidi ya baraza la mitihani. je madai haya yanahatarisha amani?

Sidhani kama ni sahihi mahali kusema kwamba mahali ambapo hakuna Muislam au hakuna mkristu hata mmoja anayefanya kazi hapo basi jamii iliyokosa muumini hapo hawatotendewa haki,tujaribu kuwa chanya naenda hospitali ya Bakwata ambayo wafanyakazi wake wote ni waislamu hakuna mkristu then niseme sitotibiwa kwa sababu mimi ni mkristu?Au sitopewa nafasi ya shule kama mtoto wangu ni mkristu na shule ni ya waislamu?Nadhani kama ni seminary naweza nisiulize maswali mengi lakini kama ni shule ya kawaida ikawa na ubaguzi hapo nitajiuliza,vinginevyo siwezi kuwa na mawazo hasi.

Hilo ninakukatalia kwa asilimia mia,watanzania tuwe na mawazo chanya,wamekosea ni makosa ya kibinadamu lakini tusiweke sababu za kwa kuwa hakuna mfanyakazi wa dini ya kiislamu ndio sababu,siyo sahihi hata kidogo.

Na kwa upande mwingine sidhani kama Scramble uko sahihi pia kusema baraza la mitihani halina hata muislamu mmoja sidhani kama ni kweli,utakuwa unaupotosha umma.

Kwa wakristu pia sifikiri kwa kuwa Rais ni muislam,makamu muislam,Judge mkuu ni muislamu,IGP muislamu na blahblah halafu wakristu waseme sababu hawa ni waislamu wote then wakristu hawatendei haki siyo kweli na sidhani kama kuna ukweli ndani yake.

Kama Redio imekosea kwa kukiuka sheria za nchi iache ijitetee yenyewe na ikiri makosa yake na kutokurudia,tusiweke udini kwenye sheria za nchi,nchi ni ya kwetu sote na wote tuna haki ya kuishi nakuabudu tutakavyo ili mradi tusivunje sheria.

Sheria zetu hazifuati dini yoyote basi sote tuziheshimu,hakuna sababu ya mkristu kumtukna,kumdhihaki au kumkashifu muislamu kwa sababu ya imani yake na pia kwa upande wa waislamu hawana haki ya kutukana,kudhalilisha wala kukashifu ukristu nchi ni yetu sote.

Ambaye anaona sheria za Tanzania hazimtendei haki na angependa kufuata sharia basi aende kwenye nchi wanayofuata misingi hiyo, vivyo hivyo kwa wanaotaka nchi yetu iendeshwe kwa mlengo wa dini ya kikristu.
 
Kiukweli hilo la kufungia radio stations limedhihirisha kwa mara nyingine kwamba serikali haina base ya maamuzi yake. Imeamua kubalancisha tu mambo. Radio imani ilifanya inayotuhumiwa toka mwaka jana. more than 4 months ndio inachukuliwa hatua, wakati Radio neema ni within a month tu rungu limepita. my question ni walikuwa wanasubiri nini kuichukulia hatua radio Imaan toka kipindi kile? kwa mtizamo wangu imefanya one of the following.

1. Waliogopa kuichukulia hatua Radio Imaan kwa kuogopa responce ya waislamu, wakaamua kuipotezea tu. Lakini ilivyoona na Radio Neema ina makosa wakaamua ili kubalance wazichukulie hatua zote.

2. Waliogopa kuichukuliahatua radio Neema kwa kuogopa wakristo watasema mbona Imaam inamakosa hamjaichukulia hatua? so ili kubalancisha ikabidi wakumbuke na kiporo ambacho ofcourse kilishasahaulika na kuunganishwa.

I am confident kama radio Neema wasingefanya makosa, Imaan wasingechukuliwa hatua yoyote.

Kama mnabisha bisheni tu
 
kazi ipo kwelikweli! kumfundisha mtu namna ya kumtafuta mke / mume bora, kuvumiliana ktk ndoa nk.... ni vibaya!? kwa hiyo ifungiwe kwa hilo!? kuwa muadilifu ndugu yangu

yaani huyo hajui anachotakiwa kujadili hapa,na hajui kazi ya media,
ye anahisi kucheza ubongo wa fleva ndo kazi ya medi
 
Kiukweli hilo la kufungia radio stations limedhihirisha kwa mara nyingine kwamba serikali haina base ya maamuzi yake. Imeamua kubalancisha tu mambo. Radio imani ilifanya inayotuhumiwa toka mwaka jana. more than 4 months ndio inachukuliwa hatua, wakati Radio neema ni within a month tu rungu limepita. my question ni walikuwa wanasubiri nini kuichukulia hatua radio Imaan toka kipindi kile? kwa mtizamo wangu imefanya one of the following.

1. Waliogopa kuichukulia hatua Radio Imaan kwa kuogopa responce ya waislamu, wakaamua kuipotezea tu. Lakini ilivyoona na Radio Neema ina makosa wakaamua ili kubalance wazichukulie hatua zote.

2. Waliogopa kuichukuliahatua radio Neema kwa kuogopa wakristo watasema mbona Imaam inamakosa hamjaichukulia hatua? so ili kubalancisha ikabidi wakumbuke na kiporo ambacho ofcourse kilishasahaulika na kuunganishwa.

I am confident kama radio Neema wasingefanya makosa, Imaan wasingechukuliwa hatua yoyote.

Kama mnabisha bisheni tu

redio imaan imefanya makosa gani?KWA MTAZAMO WAKO WEWE,MAANA MNAANDIKA TU KUWA INA MAKOSA,INA MAKOSA,NI MAKOSA GANI?
 
Kiukweli hilo la kufungia radio stations limedhihirisha kwa mara nyingine kwamba serikali haina base ya maamuzi yake. Imeamua kubalancisha tu mambo. Radio imani ilifanya inayotuhumiwa toka mwaka jana. more than 4 months ndio inachukuliwa hatua, wakati Radio neema ni within a month tu rungu limepita. my question ni walikuwa wanasubiri nini kuichukulia hatua radio Imaan toka kipindi kile? kwa mtizamo wangu imefanya one of the following.

1. Waliogopa kuichukulia hatua Radio Imaan kwa kuogopa responce ya waislamu, wakaamua kuipotezea tu. Lakini ilivyoona na Radio Neema ina makosa wakaamua ili kubalance wazichukulie hatua zote.

2. Waliogopa kuichukuliahatua radio Neema kwa kuogopa wakristo watasema mbona Imaam inamakosa hamjaichukulia hatua? so ili kubalancisha ikabidi wakumbuke na kiporo ambacho ofcourse kilishasahaulika na kuunganishwa.

I am confident kama radio Neema wasingefanya makosa, Imaan wasingechukuliwa hatua yoyote.

Kama mnabisha bisheni tu

kwa hiyo unakubaliana na mimi kuwa sababu iliyotolewa ya sensa ni kuitoa kafara redio imaan
 
Nionavyo walichelewa sana kuifungia Radio Iman (m). Kwa clouds fm naona kwa kuwa wanapigia debe SSM hasa Kibonde basi imepewa karipio na fine!! Tehe Tehe!! Ila si mwarobaini wa tatizo!! watafute a root cause ndipo dawa haswa itafutwe. Wameyalea wenyewe na yameshakomaa na yanawashinda sasa. Mti ukishakomaa kuuvunja ni kazi sana!!!
 
Dont miss the bigger picture!!!

Kuzungumzia chochote si kosa lakini nimesema hapo, kuzungumza kusikokuwa na mipaka ni uendawazimu!! Kama umoja wa kitaifa na co-existence ndio bigger picture, kitu chochote kingine ni secondary!! Na huu ndio msingi wa hukumu ya TCRA!!

Je ni waislamu wote wanakubaliana na msimamo na maudhui ya Radio Imani?? Au ni wakristu wote wanakubaliana na maudhui ya Radio Neema?? Bila shaka ni HAPANA!! Sasa inakuwaje kituo cha redio kitoe dhana kwa kusingizia dini zao?? Si kila yanayosemwa katika redio hizi yanawasilisha misimamo ya madhehebu/dini zao!!!!!

Jijengee uwezo wa kuchanganua umuhimu wa mambo! Si kila jambo linahitaji kushughulikiwa sawasawa, kwa njia moja, kwa nguvu moja!!

mdau mipaka gani unayomaanisha hapa?na ishu si kwamba kila muislam aiunge mkono,mfano mawaidha ya redio imaan yalikua yanakataza pombe,riba,zinaa,sasa muislam anayemiliki bar ataiunga mkono redio imaan?ukiandika kuwa si waislam wote wanaiunga mkono redio imaan,huenda ukawa ryt nami nakwambia si watz wote wanamkubali jk japo ni rais,maana si lazima.REDIO IMAAN IT WAZ OUR VOICE,NA INSHALLAH ITARUD HEWAN AFTA 6 MONTHS,KWA IDHIN YA ALLAH.
 
kwa hiyo unakubaliana na mimi kuwa sababu iliyotolewa ya sensa ni kuitoa kafara redio imaan

redio imaan imetolewa kafara tu kwa wale ambao inagusa maslah yao,mbona NECTA HAWAJAWAH KUKANUSHA TUHUMA WALIZOPEWA NA REDIO IMAAN,NA JUZI WAMEKANUSHA ZA KWENYE GAZET LA TANZANIA DAIMA NA MTANZANIA?
 
inaelekea hujawahi kuisikiliza hiyo redio. mimi siyo mfanyakazi wa redio imaan. nimeleta mada hii kwa sababu leo redio imaan kesho zitakua redio nyingine. hoja yangu ni kwamba kuwe na sababu zenye mantiki za kukifungia chombo cha habari. leo hii watu wanalalamika kuhusu gazeti la mwanahalisi..........

umewahi kuisikiliza redio imaan? una uhakika kuwa mimi ni muislamu? jenga hoja acha ushabiki wa kijiweni

Hawa watu hawajifunzi mpaka yawakute ndio waone ubaya wake.

Kama taifa hatuwezi kupiga hatua kwa kufanya mambo kwa kuangalia dini zetu.

Tanzania ni secular state, tunapojadili mambo yanoyohusu jamii, inabidi kuwa na mtazamo chanya sio hasi wakati wote kwa kuangalia imani yako.

Kutokana na tatizo hili, ndio maana mara nyingi tunajadili nyadhifa za viongozi kwa imani zao na sio taaluma au uwezo walio nao. Hata kwenye siasa ni hivyo hivyo.

Kwa mtindo huu kama hatutabadilika, iko siku Tanzania zitakujakupigwa kavu kavu na vita itaanzia bungeni halafu itakuja kwa raia.

Tubadilikeni.

My take ni kwamba kufungiwa kwa radio imani ni uamuzi uliochukuliwa kisiasa na kibabe zaidi ya kufuata sheria. Tusbiri rufaa itakayokatwa na radio imaan fm kwa TCRA au mahakamani.

Naamini hukumu hiyo itatupwa ingawa si kwa wakati kutokana na udhaifu wa mahakama zetu.
 
Nionavyo walichelewa sana kuifungia Radio Iman (m). Kwa clouds fm naona kwa kuwa wanapigia debe SSM hasa Kibonde basi imepewa karipio na fine!! Tehe Tehe!! Ila si mwarobaini wa tatizo!! watafute a root cause ndipo dawa haswa itafutwe. Wameyalea wenyewe na yameshakomaa na yanawashinda sasa. Mti ukishakomaa kuuvunja ni kazi sana!!!

redio imaan ina maslah kwa waislam,ww kama si muislam si lazima uiskize,
ifungwe isifungwe haikuhusu sana,hata masafa yake huyajui,
chuki zenu manaswara ndo zinafanya mlazimishe ifungwe.
Lakin ITAREJEA AFTA 6 MONTHS,NA HAITAFUNGIWA MAISHA,
Hivi una habar kuwa gazeti la majira liliwah kufungiwa lisiingie zanzibar?
Sasa leo haliingii
 
Hawa watu hawajifunzi mpaka yawakute ndio waone ubaya wake.

Kama taifa hatuwezi kupiga hatua kwa kufanya mambo kwa kuangalia dini zetu.

Tanzania ni secular state, tunapojadili mambo yanoyohusu jamii, inabidi kuwa na mtazamo chanya sio hasi wakati wote kwa kuangalia imani yako.

Kutokana na tatizo hili, ndio maana mara nyingi tunajadili nyadhifa za viongozi kwa imani zao na sio taaluma au uwezo walio nao. Hata kwenye siasa ni hivyo hivyo.

Kwa mtindo huu kama hatutabadilika, iko siku Tanzania zitakujakupigwa kavu kavu na vita itaanzia ungeni halafu itakuja kwa raia.

Tubadilikeni.

My take ni kwamba kufungiwa kwa radio imani ni uamuzi uliochukuliwa kisiasa na kibabe zaidi ya kufuata sheria. Tusbiri rufaa itakayokatwa na radio imaan fm kwa TCRA au mahakamani.

Naamini hukumu hiyo itatupwa ingawa si kwa wakati kutpokana na udhaifu wa mahakama zetu.

Bocho kama unaish bila kujali iman yako ur dead body,
utaishije bila kuizingatia imani yako?
 
Last edited by a moderator:
mbona thread yangu inahujumiwa! kwa nini inakua moved na baadhi ya maoni kuondolewa!? nina imani na JF kuwa ni chombo chenye uadilifu. mimi ni senior member na nimekuepo hapa muda mrefu. mod sielewi what is going on!
 
scramble pole yako,yaani bado unauamini huu mtandao?ww hapa poteza muda wako,kama huna kazi,
 
Last edited by a moderator:
Bocho kama unaish bila kujali iman yako ur dead body,
utaishije bila kuizingatia imani yako?

Nadhani hujanielewa tu. Imani yako haitakiwi kukufanya usiuone ukweli only tu kwa vile anayeathirika si mtu wa imani yako.

Huo ndio uadilifu kumpa kila mtu haki yake anayostahiliu hata kama yuko kinyume na imani yako
 
HalafuTabia ya kusema uislam ndio ugaidi ife jamani tumechoka uislamu ni dini ya Amani....na mkiendelea hivi hapata kalika ...Redio imani imeonewa
 
redio imaan ina maslah kwa waislam,ww kama si muislam si lazima uiskize,
ifungwe isifungwe haikuhusu sana,hata masafa yake huyajui,
chuki zenu manaswara ndo zinafanya mlazimishe ifungwe.
Lakin ITAREJEA AFTA 6 MONTHS,NA HAITAFUNGIWA MAISHA,
Hivi una habar kuwa gazeti la majira liliwah kufungiwa lisiingie zanzibar?
Sasa leo haliingii

Bora umeweza kuniona kuwa sijui hata frequency za radio yenu chochezi!! Na ningezijua pia nisingefungua hata kidogo maana hamna busara nyie. Angalia Zanzibar kama si mmoja wao halafu funga macho angalia bara!! Sihitaji kusema zaidi ila ikishindikana naomba mpewe sehemu yenu mkae na fujo zenu!! Tunahitaji kuhubiri amani na upendo na si udini kama mnavyofanya ninyi. Yaani hata hapa unaona umeanza kwa jazba!! Poa tu!!
 
Back
Top Bottom