Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
Aise hela haitoshUna freezer?
Kodi hapohapo?
Una mizani?
Una mashine ya kukatia?
Una container/madishi ?
Kilo ya sangara Hadi inakufikia bei ya jumla ni 8400.,ukisema uchukulie Kwa hapahapa Dar 8700, Haya fanya mchanganuo
Yap!ungekuwa na vitendea kazi hiyo pesa ingetoshaAise hela haitosh
Sio Lazima ulipe Kodi ya mwaka....wafanyabiashara tunajikongoja unalipa hata miezi 6Mil 2? Hiyo hata kodi ya mwaka haitoshi!
Yah ni kweli..hivi kuweka zile tiles ukutani ni sharti la lazima?Sio Lazima ulipe Kodi ya mwaka....wafanyabiashara tunajikongoja unalipa hata miezi 6
Ni sharti la lazima Kwa ajili ya kumaintan usafi,bwana afya alikukuta huna mtasumbuana,ni sawa na kuwa na mashine ni lazima pia hawataki vile vigogo na panga japo Kuna wagumu bado wanaforceYah ni kweli..hivi kuweka zile tiles ukutani ni sharti la lazima?
Mimi nadhani uzoefu utaupata ukiwa unaendelea na biashara....Unauzoefu na biashara hii hata kidogo mimi Mtaji huwa naona ni kitu cha mwisho baada ya kua na mwanga wa kitu unachokifanya
Vip kwa uzoefu wako butcher ya nyama na samaki, ipi yenye afadhali kwenye changamoto!Ni sharti la lazima Kwa ajili ya kumaintan usafi,bwana afya alikukuta huna mtasumbuana,ni sawa na kuwa na mashine ni lazima pia hawataki vile vigogo na panga japo Kuna wagumu bado wanaforce
Majority wanakula nyama,kwa maisha ya Sasa samaki inaangaliwa kama chakula Cha anasa....Vip kwa uzoefu wako butcher ya nyama na samaki, ipi yenye afadhali kwenye changamoto!
Tanzania ina mambo ya ajabu kweli; yaani unalipa kodi kabla hujatengeneza hela!! Sijui hela za kulipa kodi hiyo hutegenmewa zitoke wapi iwapo hujaanza biasharaUna freezer?
Kodi hapohapo?
Una mizani?
Una mashine ya kukatia?
Una container/madishi ?
Kilo ya sangara Hadi inakufikia bei ya jumla ni 8400.,ukisema uchukulie Kwa hapahapa Dar 8700, Haya fanya mchanganuo
cha kwanza unatakiwa kujua samaki kutoka mwanza to dar huwa wanakuja na ndege kwaio wewe unatakiwa kuandaa connection yako inaanzia wapiKwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni.
Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia
Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ??
Naomba mnielekeze
Kwa hiyo nje ya Tanzania wenzetu wanaanza biashara ndio baadae wanalipa Kodi?🤔🤔Tanzania ina mambo ya ajabu kweli; yaani unalipa kodi kabla hujatengeneza hela!! Sijui hela za kulipa kodi hiyo hutegenmewa zitoke wapi iwapo hujaanza biashara
Ndiyo; kwani kodi hutokana na mapato. Ukianzisha biashara lakini kwenye quarter ya kwanza ukapata hasara, hutalipa kodi katika quarter hiyo na utakata hiyo hasara kutoka kwenye faida ya quarter ijayo kabla hujalipa kodiKwa hiyo nje ya Tanzania wenzetu wanaanza biashara ndio baadae wanalipa Kodi?🤔🤔
Ooh basi hiyo Iko poa sanaNdiyo; kwani kodi hutokana na mapato. Ukianzisha biashara lakini kwenye quarter ya kwanza ukapata hasara, hutalipa kodi katika quarter hiyo na utakata hiyo hasara kutoka kwenye faida ya quarter ijayo kabla hujalipa kodi