Asante sanaMajority wanakula nyama,kwa maisha ya Sasa samaki inaangaliwa kama chakula Cha anasa....
Nyama inapatikana hapa hapa so unaipata fresh na unahakika ya kuimaliza, tofauti na samaki ,inatoka mbali na utokaji wake ni slow kidogo .
UTUNZAJI,ukipata Mtu anayekuletea kutoka Mwanza asipotunza vizuri kwenye 0-2degree kabla ya kusafirisha unaweza pokea mzigo hauna ubora,nadhani unajua ukipataa mzigo mbovu,itabidi uuze Kwa bei ya hasara.,hapa wateja ni wafanyabiashara wa kukaanga samaki mara nyingi Huwa wanafurahia hii sana...kuwauzia wateja wa kula nyumbani Huwa changamoto sana....
KUTAPELIWA,unaweza kuwa na Mtu anakuletea samaki kutoka Mwanza unamtumia pesa ya kutosha karibu mwaka mzima,ila siku isiyo na jina anaweza potea bila taarifa hapo umetuma 6M zako,usimpate tena
Kifupi,samaki inacomplication ila ikikubali inakutoa...
Sijakuelewa ,samahani unaweza kuiwek Kwa Urahisi kidogoNdiyo; kwani kodi hutokana na mapato. Ukianzisha biashara lakini kwenye quarter ya kwanza ukapata hasara, hutalipa kodi katika quarter hiyo na utakata hiyo hasara kutoka kwenye faida ya quarter ijayo kabla hujalipa kodi
Hiyo iko katika lugha rahisi sana, ni kitu gani hakieleweki. Wenzetu hulipa kodi kila baada ya miezi mitatu (robo mwaka au quarter).Sijakuelewa ,samahani unaweza kuiwek Kwa Urahisi kidogo
Alimaanisha pango la sehemu ya kuuzia naamini.Tanzania ina mambo ya ajabu kweli; yaani unalipa kodi kabla hujatengeneza hela!! Sijui hela za kulipa kodi hiyo hutegenmewa zitoke wapi iwapo hujaanza biashara
Ok; sawa. Kiswahili kinachanganya wakati mwingine. kodi, tozo, ushuru, pango, mchango.Alimaanisha pango la sehemu ya kuuzia naamini.
Hata robo moja (miezi mitatu) inaruhusiwa kulipa kodi.Sio Lazima ulipe Kodi ya mwaka....wafanyabiashara tunajikongoja unalipa hata miezi 6
Sure!Hata robo moja (miezi mitatu) inaruhusiwa kulipa kodi.
Tafuta wateja, uuze kwa oda (online business) mtaji ukikua unafungua bucha.Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni.
Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia
Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ??
Naomba mnielekeze
Kwahyo niwanunue alafu niwahifadh nyumbn,nitafute wateja online okokTafuta wateja, uuze kwa oda (online business) mtaji ukikua unafungua bucha.
Usikate tamaa, hiyo inatosha sana kama utakuwa mbunifu.
Nunua jokofu uwe nalo halafu kabla ya kununua samaki, ingia facebook fungua page ya biashara ulipie kama elfu 50 ya matangazo kisha uweke matangazo ukijinadi kuwa unauza samaki. Uweke details zote muhimu kwa ajili ya oda na delivery. Kisha ingia kwa platform zingine kama wasap hiwezi kosa watu hata wa karibu wa kuwauzia, kisha kusanya oda uweke na delivery hadi kwa mteja. Ukipata oda unafanya kuagiza unapakia kwa ndoo inaruka na ndege dk chache inakufikia ikiwa fresh unamuuzia mteja.Kwahyo niwanunue alafu niwahifadh nyumbn,nitafute wateja online okok
Budda20Majority wanakula nyama,kwa maisha ya Sasa samaki inaangaliwa kama chakula Cha anasa....