Kufungua kesi ya Utapeli wa kiroho dhidi ya ndugu Boniphace Mwamposa

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Nimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia hiyo hiyo.

Je, kisheria utapeli wa kiroho unatambulika ikiwa kuna ushahidi?
 
JIPANGE kumpa fidia tu
 
Uliitwa
Ulipelekwa
Alikuita
Alikulazimisha kuja
Alikulazimisha kununua mafuta
Alikulazimisha kununua maji
Alikulazimisha kuamini
Mwisho utaulizwa na MWANASHERIA umejipanga sh ngapi kumlipa fidia

Wakati ukiwa na mashahidi wakoo

KUNA eicher 4 zitakuwa Nje kama mashahidi Toka mbagala na tegeta wakionyesha walivyopona

JIPANGE tu

Mwosha huoshwaa
 
Nimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia hiyo hiyo.

Je, kisheria utapeli wa kiroho unatambulika ikiwa kuna ushahidi?
Hongera mkuu ila sio kwa mahakama hizi za hapa nchini. Labda mahakama zakimataifa ndugu ndio haki itatendeka
 
Nimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia hiyo hiyo.

Je, kisheria utapeli wa kiroho unatambulika ikiwa kuna ushahidi?
🤔🤔🤔 kwan alikulazimisha kwenda kweny maomb yake?
 
Hii nchi unawapumbavu wengi sana.....
Wacha mnyoroshwe... bladi hell...☹️
 
Nimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia hiyo hiyo.

Je, kisheria utapeli wa kiroho unatambulika ikiwa kuna ushahidi?
Mahakama za wapi?
 
Mvumilivu hula mbivu, msubiri kwenye mahakama za Mungu.
 
Uliitwa
Ulipelekwa
Alikuita
Alikulazimisha kuja
Alikulazimisha kununua mafuta
Alikulazimisha kununua maji
Alikulazimisha kuamini
Mwisho utaulizwa na MWANASHERIA umejipanga sh ngapi kumlipa fidia

Wakati ukiwa na mashahidi wakoo

KUNA eicher 4 zitakuwa Nje kama mashahidi Toka mbagala na tegeta wakionyesha walivyopona

JIPANGE tu
mtu yeyeyote mwenye akili timamu na ni mfuasi wa mtume apostle Mwamposa ni ZUZU/IMBECILE na kwa pamoja wote ni WAHALIFU/CRIMINALS mnashiriki kuupigania UTAPELI WA KIDINI
 
Back
Top Bottom