Kufungua kesi ya Utapeli wa kiroho dhidi ya ndugu Boniphace Mwamposa

Kufungua kesi ya Utapeli wa kiroho dhidi ya ndugu Boniphace Mwamposa

Uliitwa
Ulipelekwa
Alikuita
Alikulazimisha kuja
Alikulazimisha kununua mafuta
Alikulazimisha kununua maji
Alikulazimisha kuamini
Mwisho utaulizwa na MWANASHERIA umejipanga sh ngapi kumlipa fidia

Wakati ukiwa na mashahidi wakoo

KUNA eicher 4 zitakuwa Nje kama mashahidi Toka mbagala na tegeta wakionyesha walivyopona

JIPANGE tu
Ataulizwa pia uliamini

Atajibu.. ndiyo

😄

Ova
 
Njia rahisi ya kupambana na huyo tapeli km unavyomuita (Mwamposa) nenda Mlingotini ama Kwa Msisi kwa Waganga umroge afe utakuwa umesaidia wengi wanaojazana pale Kawe na itakuwa mwisho wake..
 
mtu yeyeyote mwenye akili timamu na ni mfuasi wa mtume apostle Mwamposa ni ZUZU/IMBECILE na kwa pamoja wote ni WAHALIFU/CRIMINALS mnashiriki kuupigania UTAPELI WA KIDINI
Hayajakukuta ndugu yangu,siku yakikukuta hutasema hivyo
 
Nimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia hiyo hiyo.

Je, kisheria utapeli wa kiroho unatambulika ikiwa kuna ushahidi?
😂😂😂
 
mtu yeyeyote mwenye akili timamu na ni mfuasi wa mtume apostle Mwamposa ni ZUZU/IMBECILE na kwa pamoja wote ni WAHALIFU/CRIMINALS mnashiriki kuupigania UTAPELI WA KIDINI
Roger Roger
Copied posn Roger
992
Kawe kwa mwamposaa respond
 
Hivi kwa mfano wakiwa wanapaka mafuta yao na kunywa maji yao wanakuwa wanatapeli nini na wanamtapeli nani?
Biblia inasema usimjibu mpumbavu usije fanana nae methali hioo mkuu
Kaenda mwenyewe
Kanunua mwenyewemaji mafuta
Karudi mwenyewe
Hahahaaaahahaaaaaa jimalixee baba jimalixee ujamalizaa hapoo atasema yotee
 
Nimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia hiyo hiyo.

Je, kisheria utapeli wa kiroho unatambulika ikiwa kuna ushahidi?
Mnamkataba ambao unaweza kumshtaki upande mwingine endapo asipofanya au asipopokea atakua liable? Kama hamna usijisumbue.
 
Safi sana huwa nikisikia mmebamizwa za mbavu na hayo mambo mnayoita kiroho nasikia raha sana.
DJ piga ULE wimbooo

Sitabakiiii kama nilivyoooooooo x3

Silalamiki

Wala sikufuru

Najua n darasa napitishwa

Imani Yangu Iko kwenye kipimo

Najua nitapita tu

Sitaman ya wengine.....

Najua wakati wangu upoooo

Dj poz kidogo bundle linaisha

Mtetexiii wanguu yu haiiiii x2

Ananjibuuuuu sitabaki kama nilivyoooooooooooo

Eeeiiiii mteteeziwangu yu haiiii
 
Biblia inasema usimjibu mpumbavu usije fanana nae methali hioo mkuu
Kaenda mwenyewe
Kanunua mwenyewemaji mafuta
Karudi mwenyewe
Hahahaaaahahaaaaaa jimalixee baba jimalixee ujamalizaa hapoo atasema yotee
kutofanya juhudi yoyote ya kukemea maovu yanayofanyika kwa jina la MUNGU aliye hai, ni uhalifu wa kiroho:BanHammer:
 
Utapeli wa kiroho sidhani kama mahakama Ina uwezo wa kung'amua ikizingatiwa hii ni secular state alafu pia huyo Nabii ni CHAWA mbobevu wa serikali kwahiyo lazima watamkingia kifua

Back
Top Bottom