Utatapeliwa mara ya piliInawezekana kwa sheria zetu?
JIPANGE kumpa fidia tuNimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia hiyo hiyo.
Je, kisheria utapeli wa kiroho unatambulika ikiwa kuna ushahidi?
Hongera mkuu ila sio kwa mahakama hizi za hapa nchini. Labda mahakama zakimataifa ndugu ndio haki itatendekaNimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia hiyo hiyo.
Je, kisheria utapeli wa kiroho unatambulika ikiwa kuna ushahidi?
Kweli HATA hapa wajinga tunajibu swali ambalo ajaelezea katapeliwa nnWajinga ndio waliwao, wajinga ndio waliwaooo ooh.
🤔🤔🤔 kwan alikulazimisha kwenda kweny maomb yake?Nimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia hiyo hiyo.
Je, kisheria utapeli wa kiroho unatambulika ikiwa kuna ushahidi?
RohoUmetapeliwa nn tueleze
Agiza energy ya Simba nakujalipaaaItafaa sana kama ukimshtaki kwenye mahakama ya "kiroho". Kwa maana unachanganya ulimwengu mbili tofauti
Mahakama za wapi?Nimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia hiyo hiyo.
Je, kisheria utapeli wa kiroho unatambulika ikiwa kuna ushahidi?
Mvumilivu hula mbivu, msubiri kwenye mahakama za Mungu.Nimekusudia kufungua kesi ya utapeli na ulaghai wa kiroho dhidi ya anayejiita mtume Boniphace Mwamposa. Nina ushahidi wakutosha na mashahidi kadhaa ambao ni waumimi wake walio tapeliwa kwa njia hiyo hiyo.
Je, kisheria utapeli wa kiroho unatambulika ikiwa kuna ushahidi?
mtu yeyeyote mwenye akili timamu na ni mfuasi waUliitwa
Ulipelekwa
Alikuita
Alikulazimisha kuja
Alikulazimisha kununua mafuta
Alikulazimisha kununua maji
Alikulazimisha kuamini
Mwisho utaulizwa na MWANASHERIA umejipanga sh ngapi kumlipa fidia
Wakati ukiwa na mashahidi wakoo
KUNA eicher 4 zitakuwa Nje kama mashahidi Toka mbagala na tegeta wakionyesha walivyopona
JIPANGE tu