Kufungua kesi ya Utapeli wa kiroho dhidi ya ndugu Boniphace Mwamposa

Na Moshi, kilimanjaro jamani 🀣🀣🀣
Kila mwenye ushuhuda anatokea huko
 
Kwanza kabisa utaulizwa wewe ndiye uliyetapeliwa au unajipendekeza tu kushitaki wakati hao unaosema wametapeliwa wala hawaoni kuwa wametapeliwa?
 
Itakuwa kesi ya kwanza ya aina yake
 
Una miaka mingapi kwani ulilazimishwa kufuata huduma zake.
Au unataka kutrand na upepo wake
 
Kutoboa ni ngumu sana kwa kesi hiyo labda km ukivyosema una ushahidi wa kutosha Nenda BBC radio wafanye na wao uchunguzi wao,ikibainika kila mmoja atajua na watajua na engine kuwa walipigwa kama ww ata km ni style tofauti.
 
Serikali haina dini utapigwa mchana kweupe! Hasa utakaposema utapeli wa kiroho! Kesi yako tutaitupilia mbali!
 
Polisi kuna kesi kama hiz:-

Shambulio la kudhuru Mwili.
Wizi wa Kuaminiwa.
 
Hivi kumtaja mtu kuwa kakutapeli, ukasambaza kwenye mitandao ya kijamii, bila kuteleza amekutapeli nini, lini na wapi, sio matumizi mabaya ya mitandao, huyu anayetukanwa bila maelezo yoyote ni binadamu mwenye familia Kama mwingine,. Je sio character assasnation au deformation assault
 
Unatapeliwa kirohoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…