Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Milioni 200 inatosha kweli?Nenda mkoa wa Pwani Watu ni wengi Wakulima na Wafugaji wataumwa, watakufa, watazaliana so huduma ya Afya muhimu kafungue kituo huko.
Inamtosha Ujenzi Pwani sio gharama hata viwanja labda vifaa vya hiyo zahanati na kuhonga honga ili apate kibali mapema.Milioni 200 inatosha kweli?
Hakuna kitu kibaya kama kuweka pesa mingi kwenye biashara mpya ambayo huijui!?Hiyo hela njoo uidumbukize kwwnye kuuza matairi na mabetri ya gari pesa yako itarudi fasta tu
SengeremaKichwa Cha Habaari ,Kinajieleza Naomba Mnipe Strategic Areas ,ambalo naweza kufungua Kituo Cha Afya,Isipokua Ndani ya Mkoa Wa Dar Es Salaam.
Ubarikiwe, Kama Kuna mahala pengine pia usisite kushusha Nondo.Sengerema
Geita
Kahama
Runzewe
Gairo
Hapo kuanzia ujenzi mpaka vifaa na wafanyakazi wa kuanzia yaweza fika 500M. Kwa hela hiyo hiyo zahanati lazima iwe kubwa kidogoInamtosha Ujenzi Pwani sio gharama hata viwanja labda vifaa vya hiyo zahanati na kuhonga honga ili apate kibali mapema.
Kumbe matairi na battery ni biashara nzuri?Hiyo hela njoo uidumbukize kwwnye kuuza matairi na mabetri ya gari pesa yako itarudi fasta tu
Hivi jamani mbona unanionea? Mimi na mambo ya afya wapi na wapi? 🤣🤣🤣🤣
Acha ujinga. Hapo sio swala la Afya. Au hujaona mtaji... Amka basi kipenzi nasi tutoke...Hivi jamani mbona unanionea? Mimi na mambo ya afya wapi na wapi? 🤣🤣🤣🤣
Inalipa sana mjini hapa...Kumbe matairi na battery ni biashara nzuri?
Anaingilika kweli huyu mjamaa?Acha ujinga. Hapo sio swala la Afya. Au hujaona mtaji... Amka basi kipenzi nasi tutoke...