Kufungua kituo cha afya kwa mtaji wa Tsh milioni 200

Kufungua kituo cha afya kwa mtaji wa Tsh milioni 200

Zaman afya ni huduma ambayo inatakiwa itolewe na serikal kama ilivyo umeme,maji n.k lkn soku hiz kutokana na kuongezeka kwa watu na pia kutolewa isivyostahili, watu wananona no fursa ya biashara sasa
 
kaka hapo umedanganya kidogo kwa vifaa vya laboratory kwa kituo cha afya, 30M ni pesa inayojitosheleza na kuzidi maana 25M inatosha kila kitu!.

kunradhi kama nitakua nmekukera
Humu kuna watu unawasoma unaasikitika tu. Bora wewe umesema. Kuna mtu hapa kasema eti 500m. Ya nini kujiandikia kitu hukijui
 
Hiyo ni pesa ya kujenga jengo moja tu la ZAHANATI.
Ona huyu?! Eti 200m ni kujenga jengo moja tu la zahanati. Uongo mtupu, jengo hata 40m haifiki. Kuna zahanati serikali imejenga kwa 50m jengo zima limekamilika mpaka finishing. Tena hapo kuna 10% za michakato ya manunuzi. Ukiangalia layout ya Dispensary hizo kinachopelea kwenye H.C ni wards tu za kulaza wagonjwa max 15.
Mleta mada pole sana, unajadili na watu walioshindwa au kukata tamaa.
Njoo PM tushee uzoefu. Hata mimi nina proposal ya kujenga H.C.
 
Husika na kichwa taja chajieleza

Naomba Mnipe Strategic Areas, ambalo naweza kufungua Kituo Cha Afya, isipokuwa ndani ya Mkoa Wa Dar Es Salaam.
Hiyo ela mwa zahanati ni kama nakushauri Hapana, ununue kiwanja, ujenge zahanati, ununue vifaa vya hospitali, na pesa za waajiiri, hapo bado kuna mambo ya usajili na kodi,

Mimi ningekushauri tumia milion hata 60/70+ isizidi milion 100. Tafuta eleo zuri fungua Pharmacy ya kisasa ya maana ambayo utauza jumla na rejareja. Utakuja kunishukuru.

Hiyo milion 100 nyingine iweke kama dharura uangalie dawa gani zinaenda uongeze mzigo kulingana na mahitaji.
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mkuu bora ufungue maabara tu au pharmacy vinginevyo ufungue zahanati
 
Back
Top Bottom