Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

ustadhijuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
3,133
Reaction score
2,118
Assalam alaikum

Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.

Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.

Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.

Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k

Nimemaliza.
 
Makanisa hayakutakiwa kufungiwa in the first place.

Kwa sababu uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba na kibinadamu.
 
Watanganyika tunasimama na Gwaji boy 💯 💯 💯 💯 💯 💯 💯 💯 💯 💯 💯
 

Unafahamu kosa ambalo limesababisha makanisa ya gwajima kufungwa?
 
Sasa kwanini mkalifungia kosa lilikuwa nini?
 
🚮
Epuka udini shekhe.

Mbona siasa zinaongelewa mara nyingi tu ndani ya masjid na misikiti yote nchi nzima haijafungiwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…