Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Gwajima alisema hakubaliani na UTEKAJI
Na akasema ana orodha ya watu 83 waliopotea kwa kutekwa na hawajulikani walipo
Kitu cha ajabu lilienda kufungwa kanisa lake.
Sasa swali la msingi ni kuwa je hao watu kawateka Gwajima hadi aonekane ni hatari hadi kufungiwa kanisa?
Kama sio hivyo je mtekaji/watekaji na Gwajima nani ni hatari anayepaswa kutafutwa kwa kuhatarisha usalama na maisha ya watanzania?
hata sijui umeongea nini.serikali inayo wajibu kuwaunganisha wananchi na siyo kuwagawa.kufungulia makanisa haya itakuwa mmojawapo ya njia ya upatanisho mhimu sana.kutoyafungulia kuna madhara makubwa kuliko uyasemayo.wakiristo hawana chuki kama mataifa uliyoyataja.sisi wakristo tunafundishwa na BWANA wetu Yesu KRISTO kusamehe na kusahau mabaya uliyofanyiwa na adui yako tofauti na wale wanayojitoa mhanga.GWAJIMA et all watasamehe na kusahau kabisaAssalam alaikum
Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.
Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.
Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k
Nimemaliza.
Tatizo "katiba ni kijitabu" 🤦Makanisa hayakutakiwa kufungiwa in the first place.
Kwa sababu uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba na kibinadamu.
ni sawa kabisa.lakini kama yalikuwa mabaya kumbe sasa sisi wa leo tunatakiwa kuyakemea yasiwepo kabisa.hayapaswi kuhalalishwaGwajima na HP tawala uliopita walikuwa viongozi mmoja Mbunge na mwingine kiongozi wa chama na Serikali, matatizo wanayoyalalamikia Leo yalikuwepo jana wakiwa viongozi tena na uwezo wa kuyabadirisha yaliyopo lakini hawakufanya, kwanini Leo?..
Katika ujinga ambao hii nchi itaujutia ukiwemo mtoa hoja ni endapo udini utaendekezwa na kusambaa. Tutatamani hata aongoze mpagani ila amani iwepo.aisee comment nyingi zinadharau hii tahadhari lakini ukifanya analysis ya haraka haraka utagundua kuna shida inakuja mbele kama manahodha hawatayaendea haya mambo kwa tahadhari.
Uelewa wa Watanzania weeengi ni mdogo na mambo ya imani hatari sana hasa kwa watu walio serious masuala ya Dini.
Kumekuwa na malalamiko ya waislamu dhidi ya pressure kubwa kutoka kwa taasisi za Dini ya kikristo linapofika suala la Rais kuwa Muislamu, hili vuguvugu lilianzia awamu ya nne na sasa naliona linashika Kasi hasa Mama anavyopigwa pressure kutoka upande ambao sio wa Dini yake.
Tafsiri ya waislamu ni vita dhidi ya Uislamu na waislamu Tanzania sio vinginevyo - NIMEWEKA TAHADHARI TUNAVYOYAENDEA HAYA MAMBO NA MWISHO WAKE TUSIPO TUMIA AKILI.
Nimesoma hata baadhi ya comment humu zinasema JK anachukiwa kwasababu ya Dini yake yaani shida sio Jk Shida ni dini.
Gwajima na HP tawala uliopita walikuwa viongozi mmoja Mbunge na mwingine kiongozi wa chama na Serikali, matatizo wanayoyalalamikia Leo yalikuwepo jana wakiwa viongozi tena na uwezo wa kuyabadirisha yaliyopo lakini hawakufanya, kwanini Leo?..
Mwenyezi Mungu atusaidie Busara zituongoze.
Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Well well...utekaji ulianza kitambo na ukashamiri utawala wa Magufuli , Samia akiwa second in command.Utekaji haukuanza awamu hii, ulikuwepo toka awamu Ile ambayo yeye alikuwa Mbunge.
Vipi kuna mahala alimention ana orodha na kukemea hadharani au hata kutuambia anajua aliyempiga Lissu risasi..
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Zaidi yake Allah sina kingine ninachoogopa hivyo jichanganyeni muone.Upelelezii utaanza na wewe Cc. @maxcence melo
Kanisa likitumika kwa Kuabudu na sio siasa mbona Hamna shidaUhuru wa kuabudu. Kama matatizo ni ya Gwajima, waumini wake wasingeadhibiwa.
Kuna mambo mengine ukitulia na kuyaangalia, hayana sababu kabisa ya kuwa ni matatizo.
Hawa wazee wa kitimoto wazayuni wa bina wanatuona Komodo saanaZaidi yake Allah sina kingine ninachoogopa hivyo jichanganyeni muone.
Gwajima aliongea 'live' kuwa atageuza misikiti kuwa "Sunday School," alichukuliwa hatua gani?
Sasa hivi anaipiga mikwala Serikali na inaonekana kuogopa!!!
Tuseme tu, Mkijaribu kuruhusu hilo, maana yake ni kwamba huyu Gwajima hata akiamua kuua Waislamu hakuna wa kumzuia, kwa sababu chuki zake hazijifichi dhidi yetu na serikali hii tayari ishaonesha kumshindwa.
Nani atalinda haki na heshima ya Waislamu nchini ikiwa Serikali inamuogopa Gwajima?
Tutajilinda wenyewe, sisi si wanyonge hata kidogo. Huyo Maxence Melo apeleke hizo credentials zangu, siogopi chochote.
Komenti nying humu zipo Kigoda sana naona na wengi wenaotukana Islam ndio wapo hapo, kikundi cha mtu kama kinaweza zidi nguvu serikal basi wakaonr huko yemenAssalam alaikum
Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.
Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.
Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k
Nimemaliza.
Mavi tupuAssalam alaikum

Tena wajiandae wakiweza kuiondoa CCM ambayo ndio nguzo yao wao kubaki mjini hapaSerikali ijichanganye iwafungulie tuwaoneshe uhalisia wetu.
Wanadhani sisi ni vipofu? Ukarimu, ucheshi na subra sio unyonge bali na manhaj aliyotufunza mtume wetu!! Kinyume chake tutawapa wanachokitaka kwa lazima.Komenti nying humu zipo Kigoda sana naona na wengi wenaotukana Islam ndio wapo hapo, kikundi cha mtu kama kinaweza zidi nguvu serikal basi wakaonr huko yemen
Elimu yako tafadhali, maana ma ustadhi sifa yenu kuuu ni kusoma na kuandika.Assalam alaikum
Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.
Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.
Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k
Nimemaliza.
Mimi nimeapa kulipua lile dangulo la Gwajima endapo serikali italeta upuuzi wa kulifungulia na hapo ndio utakuwa mwisho wa msamiati "amani" kutumika hapa nchini.Tena wajiandae wakiweza kuiondoa CCM ambayo ndio nguzo yao wao kubaki mjini hapa
tumewachoka ukweli jiji la Dar es salaam mikelele yao ya MAKANISA yao tumechoka mijitu kwao MBEYA Shinyanga uko wanakuja kusumbua mji wetu wa Kibiashara
mikoa ya kwao kila mitaa ni kanisa kelele mtindo m1 ndiomana iyo mikoa masikini sana
kutwa mikelele ya seyuuuu yesuuuu anaokoa anaokoa
Yesu mwenyewe Wahuni wamemtundika juu kashindwa kujiokoaa!!!
Huu mwaka wataelewa kwanini. Mwalimu Nyerere alisema zambi ya kuwaona wao Zanzibar nasisi watanganyika
sasa wataelewa kwanini ni Tanganyika na sio. Mbeyanyika !!
au. SHINYANYIKA!!
au mwanyika!!
jua ni Tanga nyika kote pwani shubamit Jisaulisheni kijinga
nyinyi wa uko Mbeya Shinyanga na NK. mkimbie mapema pwani yote ni Ardhi yetu Watu wa pwani..
hamjui tu tunatamani kinuke tugawane upya mipaka na Umasikini..
nyie kazi yenu kilimo sio kuja mjini pesa tutawaletea uko uko kununua mazao yenu.
Makao makuu ya makanisa yote yapo Dar kwanini.
Waumini wengi wapo mikoani kwanini msiwafate uko uko!!! Tutaeshimu makanisa manne tu.
Yenye kutoa Uduma za hospital na mashule
Wengine mtokomee kwenu. Mikusanyiko yenu ya kijambazi na kueneza magonjwa mjini,
Hivi TCRA wako wapi lakini? Haya mambo mazito sana...naogopa mimiMimi nimeapa kulipua lile dangulo la Gwajima endapo serikali italeta upuuzi wa kulifungulia na hapo ndio utakuwa mwisho wa msamiati "amani" kutumika hapa nchini.