Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
Unatueleza haya wewe kama nani
jini na waabudu majini ni walewale tu
Unatueleza haya wewe kama nani
Yaani huu uzi ulivyoanza kuandika tu nimeishia hapa, hamna kitu umeandikaHatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Wafuasi wa mudi wana fikra za kizamani sanaUnatueleza haya wewe kama nani
Huu ni ujinga,tafuta chakula ule uende chooniAssalam alaikum
Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.
Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.
Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k
Nimemaliza.
Ili tujue wakina nani ni wababe wa dunia,tena tutaruhusu assist toka china, japan na nk waje upande wenu alafu tuone nani mshindi? Yan kinyago chetu wenyewe kitutishe? Iyo elimu yenyewe ni yetu kila kitu chetu alafu mikwara mingi pumbavuOya kwanini muitiane watu? Zipigwe tu kavu kavu🤣🤣🤣
Waulize Mashehe wenzako kilichowakuta kule KIBITIAssalam alaikum
Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.
Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.
Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k
Nimemaliza.
Vipi Imamu au Shekhe akisimama msikitini kuzungumza anachotaka alafu wenye mamlaka wasipendezwe nacho unaona ni sawa misikiti yote nayo ifungiwe?Assalam alaikum
Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni sawa na kuilazimisha serikali ifuate matakwa yake binafsi. Hili haliwezi kukubalika.
Kumekuwa na tetesi humu JF kwamba serikali inakusudia kuyafungulia makanisa ya Gwajima baada ya mkwara wake. Hii ni hoja nzito inayohitaji tafakuri.
Kwa hiyo, Serikali, kama mnafikiria kufungulia makanisa ya Gwajima basi mjiandae kwa yalitokea Somalia, Afghanistan, Sudan n.k
Nimemaliza.
Kama mmeichoka amani basi wafungulieni muonje joto ya jiweWaulize Mashehe wenzako kilichowakuta kule KIBITI
Sasa mambo za Tanzania dunia inahusikaje kiongozi 😆😆😆😆Ili tujue wakina nani ni wababe wa dunia,tena tutaruhusu assist toka china, japan na nk waje upande wenu alafu tuone nani mshindi? Yan kinyago chetu wenyewe kitutishe? Iyo elimu yenyewe ni yetu kila kitu chetu alafu mikwara mingi pumbavu
Tz sio kisiwaSasa mambo za Tanzania dunia inahusikaje kiongozi 😆😆😆😆
Kwahiyo mnaogopana😅😅😅Tz sio kisiwa
Hatuogopi tupo tayar walipue RC tuone, mana huku bara tumejaa sisi(makafiri) na ndio tulio wengi wao wako kwao pwani na huko tumejaa vile vile.Kipindi babu zetu wanapigania uhuru toka kwa mkoloni wao walikua wanacheza mdundiko na baikoko leo hii wanaifanya tz ni hati miliki yao.Vyama vyote vya kupigania uhuru viliongozwa na makafiri sasa wathubutu tuoneKwahiyo mnaogopana😅😅😅
Ewaaa ngoma inogile, mimi napenda masumbwi ya kavu kavu bila refa wala groves yani zipigwe tu🤣🤣🤣Hatuogopi tupo tayar walipue RC tuone, mana huku bara tumejaa sisi(makafiri) na ndio tulio wengi wao wako kwao pwani na huko tumejaa vile vile.Kipindi babu zetu wanapigania uhuru toka kwa mkoloni wao walikua wanacheza mdundiko na baikoko leo hii wanaifanya tz ni hati miliki yao.Vyama vyote vya kupigania uhuru viliongozwa na makafiri sasa wathubutu tuone
Kwanini ni makanisa yake tu ndiyo yamefungwa?Makanisa hayakutakiwa kufungiwa in the first place.
Kwa sababu uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba na kibinadamu.
Katiba ni kijitabu tu sawa. Hii kauli ni kati ya vitu vichache ambavyo nakubaliana na Samia.Tatizo "katiba ni kijitabu" 🤦
Kanisa lolote halitakiwi kufungiwa kwa hivyo point ya kwa nini kanisa lake tu kimsingi kwenye hoja za kikatiba haina mashiko, labda kama unataka kufanya forensic analysis kwa sababu za kuangalia siasa zimeendaje, which is fine.Kwanini ni makanisa yake tu ndiyo yamefungwa?
Mbona mengine watu wanakwenda kuabudu kama kawaida?