min -me , Tunasimangwa 😅Ukiona mtu mzima hasa kijana anafurahia au anasifia kunywa pombe na kula nyama za bure au vyakula vingine vya bure kwenye msiba, harusi au tukio la aina nyingine yoyote basi ujue ni masikini sana wa kipato au fikra. Hii tabia wanayo sana vijana wa Kaskazini.
Pesa je?Nina uhakika kijana kama huyo nimemzidi akili kwa mbali sana
Kaskazini siyo level zako chiefUkiona mtu mzima hasa kijana anafurahia au anasifia kunywa pombe na kula nyama za bure au vyakula vingine vya bure kwenye msiba, harusi au tukio la aina nyingine yoyote basi ujue ni masikini sana wa kipato au fikra. Hii tabia wanayo sana vijana wa Kaskazini.
Hiyo ni kawaida bwashee tangu kale hasa sisi wachaga tuna tabia za kupongezana hasa kwenye pombe na vyakula , miaka ya nyuma kila familia ilikua inaandaa pombe na vyakula na kila mtu alijumuika kwenye familia moja wapo iliyo andaa , na watu walipongezana , na kushindana familia ya nan itaandaa vinono zaidi na pombe tamuNaongelea usifiaji na kukenua meno kisa umekula nyama na kunywa pombe za kutosha msibani.
Labda ili kumsahau marehemu.Mantiki ya pombe kwenye msiba ni nini kwanza?
Kwamba watu wa huko kaskazini hawapo hizo nchi?Sahihi, mimi level zangu ni New York, Ulaya, Joburg, Guangzhou na Nairobi.
Kuongeza machozi,kutoa nishai na kuongeza "hamasa" ya kulia kwa wahudhuriaji.Mantiki ya pombe kwenye msiba ni nini kwanza?
Anamaanisha tule huku tunalia kama yule jamaa wa tiktok 😅😅Kwa hiyo mkuu unataka tule makande msibani?
Kaka misiba bila pombe haunogiMantiki ya pombe kwenye msiba ni nini kwanza?