Kufurahia pombe za bure na vyakula vya bure ni ishara ya umasikini mbaya

Kufurahia pombe za bure na vyakula vya bure ni ishara ya umasikini mbaya

Ukiona mtu mzima hasa kijana anafurahia au anasifia kunywa pombe na kula nyama za bure au vyakula vingine vya bure kwenye msiba, harusi au tukio la aina nyingine yoyote basi ujue ni masikini sana wa kipato au fikra. Hii tabia wanayo sana vijana wa Kaskazini.
Acha watu wale
 
Hiyo muhimu aseeh 😂,

Ila hakuna ambaye hatokufa!!!

Acha Nile na kunywa kabla sijakata moto wazee,,,

Nikatr moto mlewe wenyewe acha nilewe sasa cc Poor Brain mbamizwa kobaa
Mimi ukinikuta nimekunja nne nakula vitu vyangu unaweza sema namiliki viwanda vitano bwashee, hapa enyewe nakatia tu😅
 
Mimi ukinikuta nimekunja nne nakula vitu vyangu unaweza sema namiliki viwanda vitano bwashee, hapa enyewe nakatia tu😅
Sasa je unajibana unakata moto, watu wanapata catalyst kwanza 😂 huku napigwa baridii huko kwenye mafriza
 
Hakuna lolote mkuu! Nenda ukaoshi Moshi utakuja kutengua kauli yako.

Hata hivyo, sijui hii smartness inapimwa kwa namna gani.
Aaah usiangalie jamii ndogo Ila angalia generally
 
Unataka waseme vibaya mbona binadamu hatuna shukrani, chuki plus wivu shida nn ?

Ninyi msiokunywa pombe msibani marehemu wenu alirudi¿?

Niliona Nigeria mwanamke kafiwa na mume taratbu zao anacheza, huku ukicheza au usipolia watasema wewe ndo umemtoa uhai mpendwa wao,,

Mimi nikifa ni kula na kunywa basi. Mbamizwa kobaa cc Poor Brain

Pombe ni kinywaji km soda issue mnaitafasiri tofauti
We jamaa una mambo ya kikafiri sana ...
Una mambo ya dhambi sana an we jamaa sijui aiseeee kama utatoboa
 
Back
Top Bottom