Kufurahia pombe za bure na vyakula vya bure ni ishara ya umasikini mbaya

Naongelea usifiaji na kukenua meno kisa umekula nyama na kunywa pombe za kutosha msibani.
Kukenua Ni sehemu ya faraja Kwa wafiwa,Mimi mtu baki nikisikitika mfiwa atakuwa na hali gani??
Tena nikiwa ndani ndo safi kabisa,nitaomba niongezewe pilipili🤓🤓🤓🤓
Hii inawachangamsha wafiwa wanasahau kidogo majanga waliyonayo!
 
Hivi kati ya wale vijana wa Arusha na huko kasakazini ni sampuli zilezile au ni tofauti.
Arusha pia ni kaskazini, arusha ndio unaweza wapata watu wa kaskazini kwa pamoja , kwa sababu lile ni jiji la kibiashara kwa kaskazini nzima
 
Naongelea usifiaji na kukenua meno kisa umekula nyama na kunywa pombe za kutosha msibani.
Unataka waseme vibaya mbona binadamu hatuna shukrani, chuki plus wivu shida nn ?

Ninyi msiokunywa pombe msibani marehemu wenu alirudi¿?

Niliona Nigeria mwanamke kafiwa na mume taratbu zao anacheza, huku ukicheza au usipolia watasema wewe ndo umemtoa uhai mpendwa wao,,

Mimi nikifa ni kula na kunywa basi. Mbamizwa kobaa cc Poor Brain

Pombe ni kinywaji km soda issue mnaitafasiri tofauti
 
Kabisa msafara wa msiba na maiti tunapaki bar bwashee
 
Waelese kituo Cha kwanza bunju, tukitoka msata-bagamoyo, mkata Tanga, bado mombo ukitoka hapo njia panda himo, tukitoka uzunguni usseri rombo tukitoka nyumbn kwa mfiwa!!!

Ukifa kazi yako imeisha babuu Yoda,, kula na kunywa tuu
 
Na kama haunywi unaitwa mlokole na utatengwa, tena utaonekana mkuda , na mmbea
 
Ukiona mtu mzima hasa kijana anafurahia au anasifia kunywa pombe na kula nyama za bure au vyakula vingine vya bure kwenye msiba, harusi au tukio la aina nyingine yoyote basi ujue ni masikini sana wa kipato au fikra. Hii tabia wanayo sana vijana wa Kaskazini.
Vijana wa Mbowe hao
 
Back
Top Bottom