Kukenua Ni sehemu ya faraja Kwa wafiwa,Mimi mtu baki nikisikitika mfiwa atakuwa na hali gani??Naongelea usifiaji na kukenua meno kisa umekula nyama na kunywa pombe za kutosha msibani.
Aaaaah wapi labda pilau liwe bichi!!Anamaanisha tule huku tunalia kama yule jamaa wa tiktok 😅😅
Hivi kati ya wale vijana wa Arusha na huko kasakazini ni sampuli zilezile au ni tofauti.Kaka misiba bila pombe haunogi
Safi sana hatuwezi kukaa kimya tukisimangwa😊Nimemjibu bwashee 😆
Arusha pia ni kaskazini, arusha ndio unaweza wapata watu wa kaskazini kwa pamoja , kwa sababu lile ni jiji la kibiashara kwa kaskazini nzimaHivi kati ya wale vijana wa Arusha na huko kasakazini ni sampuli zilezile au ni tofauti.
Mtu wa kaskazini kumsifia mtu ni jambo dogo sana , kaskazini unaweza sifiwa ukajikuta boss kumbe wanaokusifia wamekuzidi kila kituSafi sana hatuwezi kukaa kimya tukisimangwa😊
Unataka waseme vibaya mbona binadamu hatuna shukrani, chuki plus wivu shida nn ?Naongelea usifiaji na kukenua meno kisa umekula nyama na kunywa pombe za kutosha msibani.
Kabisa msafara wa msiba na maiti tunapaki bar bwasheeUnataka waseme vibaya mbona binadamu hatuna shukrani, chuki plus wivu shida nn ?
Ninyi msiokunywa pombe msibani marehemu wenu alirudi¿?
Niliona Nigeria mwanamke kafiwa na mume taratbu zao anacheza, huku ukicheza au usipolia watasema wewe ndo umemtoa uhai mpendwa wao,,
Mimi nikifa ni kula na kunywa basi. Mbamizwa kobaa cc Poor Brain
Pombe ni kinywaji km soda issue mnaitafasiri tofauti
Ndo hao wanajiita wadudu ?Arusha pia ni kaskazini, arusha ndio unaweza wapata watu wa kaskazini kwa pamoja , kwa sababu lile ni jiji la kibiashara kwa kaskazini nzima
Wadudu wengi ni watu wa kuja , wengi ni wa asili ya singida.Ndo hao wanajiita wadudu ?
Waelese kituo Cha kwanza bunju, tukitoka msata-bagamoyo, mkata Tanga, bado mombo ukitoka hapo njia panda himo, tukitoka uzunguni usseri rombo tukitoka nyumbn kwa mfiwa!!!Kabisa msafara wa msiba na maiti tunapaki bar bwashee
Na kama haunywi unaitwa mlokole na utatengwa, tena utaonekana mkuda , na mmbeaWaelese kituo Cha kwanza bunju, tukitoka msata-bagamoyo, mkata Tanga, bado mombo ukitoka hapo njia panda himo, tukitoka uzunguni usseri rombo tukitoka nyumbn kwa mfiwa!!!
Ukifa kazi yako imeisha babuu Yoda,, kula na kunywa tuu
Baadhi ya vijana ndo wanaharibu picha ya lile Jiji, maake Arusha mkoa ni mkubwa,Ndo hao wanajiita wadudu ?
Utapanda gari ya wazee au mademu,Na kama haunywi unaitwa mlokole na utatengwa, tena utaonekana mkuda , na mmbea
Tule vyombo tu bwashee .Utapanda gari ya wazee au mademu,
Sisi unakuta gari la wala vyombo tuu, km sio Kuna gari za wazee na mademu utapanda hayo
Vijana wa Mbowe haoUkiona mtu mzima hasa kijana anafurahia au anasifia kunywa pombe na kula nyama za bure au vyakula vingine vya bure kwenye msiba, harusi au tukio la aina nyingine yoyote basi ujue ni masikini sana wa kipato au fikra. Hii tabia wanayo sana vijana wa Kaskazini.
Monetary doctor , salamaleko 😁 😄, nilipitiwa kukutag..Utapanda gari ya wazee au mademu,
Sisi unakuta gari la wala vyombo tuu, km sio Kuna gari za wazee na mademu utapanda hayo
Ñakula mali kama mbaya mbaya na iwe,Tule vyombo tu bwashee .
ALeekuuu SalamMonetary doctor , salamaleko 😁 😄, nilipitiwa kukutag..