Lone warrior
Member
- Jun 2, 2025
- 25
- 16
Acha watu waleUkiona mtu mzima hasa kijana anafurahia au anasifia kunywa pombe na kula nyama za bure au vyakula vingine vya bure kwenye msiba, harusi au tukio la aina nyingine yoyote basi ujue ni masikini sana wa kipato au fikra. Hii tabia wanayo sana vijana wa Kaskazini.
Kistaarabu lakini 🤣Ñakula mali kama mbaya mbaya na iwe,
Hiyo muhimu aseeh 😂,Kistaarabu lakini 🤣
Mimi ukinikuta nimekunja nne nakula vitu vyangu unaweza sema namiliki viwanda vitano bwashee, hapa enyewe nakatia tu😅Hiyo muhimu aseeh 😂,
Ila hakuna ambaye hatokufa!!!
Acha Nile na kunywa kabla sijakata moto wazee,,,
Nikatr moto mlewe wenyewe acha nilewe sasa cc Poor Brain mbamizwa kobaa
Sasa je unajibana unakata moto, watu wanapata catalyst kwanza 😂 huku napigwa baridii huko kwenye mafrizaMimi ukinikuta nimekunja nne nakula vitu vyangu unaweza sema namiliki viwanda vitano bwashee, hapa enyewe nakatia tu😅
Ukifa imetoka hiyo , wanaobaki waachwe wale maishaSasa je unajibana unakata moto, watu wanapata catalyst kwanza 😂 huku napigwa baridii huko kwenye mafriza
Acha nimalizie chupa zangu kwanza, 😂Ukifa imetoka hiyo , wanaobaki waachwe wale maisha
Mimi leo nimepoa na vodka bwasheeAcha nimalizie chupa zangu kwanza, 😂
Hahahaha ushapata mchemsho ukiweka na hiyo siku inakuwa Bomba kabisaMimi leo nimepoa na vodka bwashee
Hakuna lolote mkuu! Nenda ukaoshi Moshi utakuja kutengua kauli yako.Vijana wa kaskazini ndo vijana smart wakifatiwa na wahaya kwa mbali
Bahati mbaya nyama sipendelei mkuu, nimepata supu ya samaki wabichiHahahaha ushapata mchemsho ukiweka na hiyo siku inakuwa Bomba kabisa
Kwa nini hakuna mtani?Hakuna lolote mkuu! Nenda ukaoshi Moshi utakuja kutengua kauli yako.
Hata hivyo, sijui hii smartness inapimwa kwa namna gani.
Aaah usiangalie jamii ndogo Ila angalia generallyHakuna lolote mkuu! Nenda ukaoshi Moshi utakuja kutengua kauli yako.
Hata hivyo, sijui hii smartness inapimwa kwa namna gani.
Wamewapora chadema wanaona haitoshi.Naona uhuru unataka kukuzidia , imefikia hatua yakuingilia furaha binafsi za watu .nakuhakikishia kwa hili hutoshinda🙄
We jamaa una mambo ya kikafiri sana ...Unataka waseme vibaya mbona binadamu hatuna shukrani, chuki plus wivu shida nn ?
Ninyi msiokunywa pombe msibani marehemu wenu alirudi¿?
Niliona Nigeria mwanamke kafiwa na mume taratbu zao anacheza, huku ukicheza au usipolia watasema wewe ndo umemtoa uhai mpendwa wao,,
Mimi nikifa ni kula na kunywa basi. Mbamizwa kobaa cc Poor Brain
Pombe ni kinywaji km soda issue mnaitafasiri tofauti
Nashangaa nipo kwenye uzi wa kikafiri kizembe hviHiyo muhimu aseeh 😂,
Ila hakuna ambaye hatokufa!!!
Acha Nile na kunywa kabla sijakata moto wazee,,,
Nikatr moto mlewe wenyewe acha nilewe sasa cc Poor Brain mbamizwa kobaa
jamaa unajipigia assist 😆Vijana wa kaskazini ndo vijana smart wakifatiwa na wahaya kwa mbali
😁😁😁jamaa unajipigia assist 😆
kidogo ungesema vijana wa kihaya ndio smart wakifatiwa na vijana wa north
Nakaribia miezi sita sijagusa kinywaji afu nakutana na comment kama hiii, Mangi taratibuKaka misiba bila pombe haunogi