Kufurahia pombe za bure na vyakula vya bure ni ishara ya umasikini mbaya

 
Bajeti kali
Weekend muda mwingi natumia online
Kupoa na totoz hasa hasa ijumaa jioni
Ibada
Nakwepa kuonana na washkaji tuliopotezana muda mrefu
Sijui ntaweza..
Of course, binafsi Mimi jioni baada ya kazi nimezoea kupiga konyagi ndogo moja ni Kila siku Huwa naichanganya kwenye TONIC WATER

Jana nilipiga konyagiiii ndogo nikaongezea na Kilimanjaro ndogo moja wife Huwa hapendi ninywe pombe hapendi ninywe pombe kabisa so asubuh kaniweka kikao kwa nini nimeanza kunywa of course nikamjibu Nina mawazo akasema Sasa ivi hayo mawazo yameisha tatizo bia zinanukiaga vibaya nikamwambia awe na amani sinywi tena so ntakua nakunywa zangu konyagiiii ndogo moja basii
 
Mmh umeona kaskazini tu sio huku niliko sio kufurahia ila usijethubutu kumnyima mtu mwaiko wa shughuli yoyote Ile halafu akienda kwenye iyo shughuli bas atataka kua kugalagaza Ili aje kuhadithia
 
wengine hueka kambi kabsa
 
mkuu piga mdogo mdogo....ichanganye kwenye pepsi
 
You will be fine.... you will be fine... una marejesho ya mkopo? Elewa kuwa misiba, harusi na matukio mengine kama hayo huwaleta watu pamoja kwa hiyo kuna hisia za furaha huwepo ndo maana hata vyakula vya huko hunoga sana. Pilau la harusini ni tamu kuliko la nyumbani. Na sio vyakula tu hata muziki wa kusikilizia Bar ni mtamu kuliko wa home. Au komredi min -me ninadanganya?
 
Upo sawa kabisa bwashee
 
Upo sawa kabisa bwashee
Mimi nina home theatre nzuri tu ya muziki ila muziki nikiusikiliza Bar kuna raha fulani ambayo nyumbani hakuna. Nimeenda sana Ibungu pale karibu na Mabibo mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…