kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,216 Reaction score 21,914 Aug 5, 2025 #81 min -me said: Kawaida tu kaskazini unaweza kuta kijana anafurahia hivyo na wala haujamzidi kwa chochote bwashee Click to expand... umepiga kwenye mshono
min -me said: Kawaida tu kaskazini unaweza kuta kijana anafurahia hivyo na wala haujamzidi kwa chochote bwashee Click to expand... umepiga kwenye mshono
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 20,877 Reaction score 43,633 Aug 5, 2025 #82 MamaSamia2025 said: Mimi nina home theatre nzuri tu ya muziki ila muziki nikiusikiliza Bar kuna raha fulani ambayo nyumbani hakuna. Nimeenda sana Ibungu pale karibu na Mabibo mwisho. Click to expand... 😂 😁 min -me , mdau mwenzetu huyu wa vinywaji changamshii tutakua tuna mtag.
MamaSamia2025 said: Mimi nina home theatre nzuri tu ya muziki ila muziki nikiusikiliza Bar kuna raha fulani ambayo nyumbani hakuna. Nimeenda sana Ibungu pale karibu na Mabibo mwisho. Click to expand... 😂 😁 min -me , mdau mwenzetu huyu wa vinywaji changamshii tutakua tuna mtag.
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 20,877 Reaction score 43,633 Aug 5, 2025 #83 kitalembwa said: umepiga kwenye mshono Click to expand... Hii nzuriii sanaa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 5, 2025 #84 Naunga mkono hoja
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 7, 2025 #85 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw