Kufuru hizi anaziona mwenye Mamlaka Mbinguni na Duniani .Viongozi wa dini semeni neno mhesabiwe

Pia kulikuwa na utatu mtakatifu pale Barcelona, ambapo ulipewa abbreviation ya MSN
Messi
Suarez
Neymar

Na hapo ni spain penye wenye Imani yao nzuri tu ila halikuleta shida hili la utatu mtakatifu

Kwahiyo sidhani kama kuna ubaya hapo, au mnasemaje ndugu zangu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Akipita Thread Hii Anasonya Tu Kutema Mate Kando !!!! Anajaa Makasiriko Hasa Chama Cha Mambuzi Kupasuka Hadharani Kweupe
wakina mayala maeneo kama haya hawaongei. wanangoja wapinzani wakosee
 
Jpm alikosea sana ilikuwa awafute kabisa duniani siyo tu kuwaita kwenye kamati kwa dharau
 
Jpm alikosea sana ilikuwa awafute kabisa duniani siyo tu kuwaita kwenye kamati kwa dharau
Wahaini wanatakiwa kunyongwa au kifungo cha maisha. Yeye aliwasamehe wakaja kummalizia. Na sasa imebaki historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…