Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona uzi huu unakwenda tu bila hata ya kumjua muowaji!1😂😂😂
Ukimfahamu anayeoa tu ambaye ni Morris mariaga....cv yake yake watu wa mjini wanaijua
Hata mambo ya michango sijui nini hata haiumizi
Kichwa......
Kuna siku fulani nlipita sinza nkamkuta mwenyewe kavalia kanzuuu nkamuona nkacheka snaaaa
Kuna wanawake fulani wanapenda wanaume sjui kizaizai type wtu wenye mishe za ujanjaujanja
Ova
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Naona uzi huu unakwenda tu bila hata ya kumjua muowaji!1[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimfahamu anayeoa tu ambaye ni Morris mariaga....cv yake yake watu wa mjini wanaijua
Hata mambo ya michango sijui nini hata haiumizi
Kichwa......
Kuna siku fulani nlipita sinza nkamkuta mwenyewe kavalia kanzuuu nkamuona nkacheka snaaaa
Kuna wanawake fulani wanapenda wanaume sjui kizaizai type wtu wenye mishe za ujanjaujanja
Ova
Naona nimekurusha😂😂😂[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Sana tu...we kaka mjini Sana'a!!!Naona nimekurusha[emoji23][emoji23][emoji23]
Si unajua wengine watu wa amsha amsha
Ova
Hahaha sahvi mbn nko shamba hukuSana tu...we kaka mjini Sana'a!!!
Hahaaaa;ila dida jamani nae sijui ana shida ganiHahaha sahvi mbn nko shamba huku
Ila wiki iliyopita nlikuja dar nkapita mitaa ya sinza pale kualalumpa,pembeni kna kuna kibanda jamaa anauza mishikaki nlimkuta wako na wenzao,nkambiwa jamaa anataka kuoa [emoji23][emoji23]
Sasa kwa historia ya jamaa mchango utafika kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Kama gundu ashatoa kati ya woote mchops ndo alikua afadhali...sasa hivi anaoa yeye na kuolewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
kama hamjui connection yeyote hapa Town nawashauri muoneni mrangi hapaHahaha sahvi mbn nko shamba huku
Ila wiki iliyopita nlikuja dar nkapita mitaa ya sinza pale kualalumpa,pembeni kna kuna kibanda jamaa anauza mishikaki nlimkuta wako na wenzao,nkambiwa jamaa anataka kuoa 😂😂
Sasa kwa historia ya jamaa mchango utafika kweli 😂😂😂
Ova
naku pm unanata mwenyewe siku nikiwa tajiri mtanikomaDida anamuoa nani ndoa hii???
Aiiiiii weeee mbona sijaona msg yoyote....irudiweee irudiweeenaku pm unanata mwenyewe siku nikiwa tajiri mtanikoma
Usipende kuamini watu (mastaa uchwara) wa bongo....wengi ni wazugaji tu na hawana issue yeyeote.Mmh! Shoga kidawa Aunty Ezekiel kwenye mitandao ya kijamii kasema ametoa mchango million nne kumbe katoa laki mbili, Uwoya nae alitangaza kalipa mil 8 kumbe laki tano, hawa wanapenda sifa hela hawana, na hapo bado Domo atasema anatoa mil 100.
View attachment 1792757
Hivi ni kweli umefariki mkuu? [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]Mmh! Shoga kidawa Aunty Ezekiel kwenye mitandao ya kijamii kasema ametoa mchango million nne kumbe katoa laki mbili, Uwoya nae alitangaza kalipa mil 8 kumbe laki tano, hawa wanapenda sifa hela hawana, na hapo bado Domo atasema anatoa mil 100.
View attachment 1792757
Sijui ndio huyu au laHivi ni kweli umefariki mkuu? [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Sidhani kama kuna warumi mwingine id huwa haziingiliani.Sijui ndio huyu au la