Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

Mungu hukupa wa kufanana na wewe, WAWEZA KUKUTA MWANAUME NDIO MWENYE MDOMO ZAIDI, ANA CHAMBA ZAIDI, ALIFUNGA NDOA ZAIDI.
 
Naona uzi huu unakwenda tu bila hata ya kumjua muowaji!1😂😂😂
Ukimfahamu anayeoa tu ambaye ni Morris mariaga....cv yake yake watu wa mjini wanaijua
Hata mambo ya michango sijui nini hata haiumizi
Kichwa......
Kuna siku fulani nlipita sinza nkamkuta mwenyewe kavalia kanzuuu nkamuona nkacheka snaaaa
Kuna wanawake fulani wanapenda wanaume sjui kizaizai type wtu wenye mishe za ujanjaujanja

Ova

Morris mariaga mpigaji wa town hahaaaa.
 
Naona uzi huu unakwenda tu bila hata ya kumjua muowaji!1[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimfahamu anayeoa tu ambaye ni Morris mariaga....cv yake yake watu wa mjini wanaijua
Hata mambo ya michango sijui nini hata haiumizi
Kichwa......
Kuna siku fulani nlipita sinza nkamkuta mwenyewe kavalia kanzuuu nkamuona nkacheka snaaaa
Kuna wanawake fulani wanapenda wanaume sjui kizaizai type wtu wenye mishe za ujanjaujanja

Ova
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
 
Sana tu...we kaka mjini Sana'a!!!
Hahaha sahvi mbn nko shamba huku
Ila wiki iliyopita nlikuja dar nkapita mitaa ya sinza pale kualalumpa,pembeni kna kuna kibanda jamaa anauza mishikaki nlimkuta wako na wenzao,nkambiwa jamaa anataka kuoa 😂😂
Sasa kwa historia ya jamaa mchango utafika kweli 😂😂😂

Ova
 
Hahaha sahvi mbn nko shamba huku
Ila wiki iliyopita nlikuja dar nkapita mitaa ya sinza pale kualalumpa,pembeni kna kuna kibanda jamaa anauza mishikaki nlimkuta wako na wenzao,nkambiwa jamaa anataka kuoa [emoji23][emoji23]
Sasa kwa historia ya jamaa mchango utafika kweli [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Hahaaaa;ila dida jamani nae sijui ana shida gani
 
Hahaha sahvi mbn nko shamba huku
Ila wiki iliyopita nlikuja dar nkapita mitaa ya sinza pale kualalumpa,pembeni kna kuna kibanda jamaa anauza mishikaki nlimkuta wako na wenzao,nkambiwa jamaa anataka kuoa 😂😂
Sasa kwa historia ya jamaa mchango utafika kweli 😂😂😂

Ova
kama hamjui connection yeyote hapa Town nawashauri muoneni mrangi hapa
 
Mmh! Shoga kidawa Aunty Ezekiel kwenye mitandao ya kijamii kasema ametoa mchango million nne kumbe katoa laki mbili, Uwoya nae alitangaza kalipa mil 8 kumbe laki tano, hawa wanapenda sifa hela hawana, na hapo bado Domo atasema anatoa mil 100.

View attachment 1792757
Usipende kuamini watu (mastaa uchwara) wa bongo....wengi ni wazugaji tu na hawana issue yeyeote.
 
Mwanamke mwenye hekima na busara huwekeza nguvu zake katika kuitafuta ndoa
 
Mmh! Shoga kidawa Aunty Ezekiel kwenye mitandao ya kijamii kasema ametoa mchango million nne kumbe katoa laki mbili, Uwoya nae alitangaza kalipa mil 8 kumbe laki tano, hawa wanapenda sifa hela hawana, na hapo bado Domo atasema anatoa mil 100.

View attachment 1792757
Hivi ni kweli umefariki mkuu? [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
Back
Top Bottom