figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mzanzibar Samia Suluhu Hela anazokopa za El nino anazipeleka wapi?
Wakikopa wanatafuta kama 10% wanawapa Vyombo vya habari viongelee Mvua za El nino, wanaagiza Wakuu wa Walaya na Mikoa kukagua Miundombinu na kutisha watu kuhusu Mvua za El nino.
Utawaona barabarani na Mifagio eti wanafanya usafi huku wamevaa reflector na Gloves. Ndo unajiuliza ndo hela tumekopa kufanya? Yaani maneno tu. Hela hazionekani zikitumika.
Niliyegemea tutunue mitambo ya kuzibua mitaro, kujenga maadara imara. Lakini tunaishia kujengewe madaraja ya miti.
Madaraja ya Bajeti ya Tanroads ndo yanageuzwa kuwa madaraja ya kupambana na Mvua za El nino.
Mwaka 2024, baada ya mvua za El Nino na Kimbunga Hidaya, Tanzania iliomba mkopo wa dola milioni 100 kutoka World Bank/IDA kupitia Crisis Response Window kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa miundombinu iliyoharibiwa. Mfano lile daraja la Somanga lilillosombwa ba maji.
Serikali pia ilitenga takribani US$83.18 milioni kutoka vyanzo vya ndani kwa ajili ya recovery na reconstruction.
Mwaka 2025, World Bank iliidhinisha US$300 milioni za financing kwa Tanzania kwa ajili ya kuimarisha maandalizi na mwitikio wa majanga, ikiwemo hatari zinazohusiana na El Nino, mafuriko na mabadiliko ya tabianchi. Kati yake, US$100m ilikuwa ni Development Policy Financing na US$200m ni Catastrophe Deferred Drawdown Option.
Pia IMF iliidhinisha Tanzania kupata takribani US$786.2 milioni kupitia Resilience and Sustainability Facility (RSF) kwa ajili ya mageuzi na uwekezaji wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Mwaka huu wa 2026, Samia Suluhu kafanya kufuru ya kukopa. Hadi wameficha takwimu alisi. Tumeishia kuona picha mitandaoni tu.
Kabla ya mume wake kufa, aliaacha amekopa ndo akenda kuzika huko zanzibar.
Hela zinapelekwa wapi?
Mzanzibari Samia Suluhu Hassan(kabla ya kuanza kuitwa mjane) akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Bw. Ndiame Diop, tarehe 20 Agosti, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam. Unajua aliomba mabilioni kiasi gani kusaidia El nino?