Hangover ya pombe za bure ndio zinamfanya mtu awe hivi..Nilijua najadiliana na mtu kumbe msukule. Samahani sitarudia

Sioni shida kama sehemu ya mkopo utanunua silaha nyingi za kuilinda Jamhuri dhidi ya vibaraka na adui kutoka nje. Taifa kwanza mengine yajalizie tu.Tatizo sio mikopo, je mikopo inafanyia nini? Cha kusikitisha zaidi sisi ndio walipaji
Mtu huyu anaelewa anachosema.."nani kauza dp world" kwa hiyo dp world ni mali ya watanzania..! Pombe ingali kichwani anakurupuka na mada haina kichwa wala miguu..Ndivyo kakutuma🤣🤣 . Nani kauza DP WORLD? Tuanzie hapo kwanza.
Upo sahihiELninyo ni kichaka cha kupiga pesa na kwenda kujenga mamansions ya mabilioni MBWENI JKT.
Wakwenu walikuwa kwenye kibanda cha Siri🤣Hapo mnajichanganya wenyewe. Mlisema yeye na nchi wamechafuka kimataifa; sasa hivi unasema kakopa bank ya dunia. Kwahiyo nchi imechafuka wapi, au imechafuka kwa kuzuia mapinduzi?
.
Sema kakopa shilingi ngapi na zimeingia kwenye account ipi. Mnaropoka ovyo, mkipelekwa mahakamani mnasema mnabambikiwa kesi kesi. Mashahidi wenu kila swali wanasema "sijui"
Uhuni ni mwingi sana. Swali, pesa zimehifadhiwa kwenye bank zetu au zinapelekwa Oman?Amelaaniwa aisee
Hiyo mikopo tunalipa kwa kodi zetu lakini TISS wanalazimisha kila mtu atamke ni pesa za mama na LAZIMA wamshukuru
Tunajitakia wenyewe, acha huyo mvaa shanga aendelee kutubagaza machogo.Watanganyika tunaangamia
Acha tu.mdau! It's totally scandalous! But do they care about us?! None whatsoever!Mzanzibar Samia Suluhu Hela anazokopa za El nino anazipeleka wapi?
Wakikopa wanatafuta kama 10% wanawapa Vyombo vya habari viongelee Mvua za El nino, wanaagiza Wakuu wa Walaya na Mikoa kukagua Miundombinu na kutisha watu kuhusu Mvua za El nino.
Utawaona barabarani na Mifagio eti wanafanya usafi huku wamevaa reflector na Gloves. Ndo unajiuliza ndo hela tumekopa kufanya? Yaani maneno tu. Hela hazionekani zikitumika.
View attachment 3673723
Niliyegemea tutunue mitambo ya kuzibua mitaro, kujenga maadara imara. Lakini tunaishia kujengewe madaraja ya miti.
Madaraja ya Bajeti ya Tanroads ndo yanageuzwa kuwa madaraja ya kupambana na Mvua za El nino.
View attachment 3673726
Mwaka 2024, baada ya mvua za El Nino na Kimbunga Hidaya, Tanzania iliomba mkopo wa dola milioni 100 kutoka World Bank/IDA kupitia Crisis Response Window kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa miundombinu iliyoharibiwa. Mfano lile daraja la Somanga lilillosombwa ba maji.
Serikali pia ilitenga takribani US$83.18 milioni kutoka vyanzo vya ndani kwa ajili ya recovery na reconstruction.
Mwaka 2025, World Bank iliidhinisha US$300 milioni za financing kwa Tanzania kwa ajili ya kuimarisha maandalizi na mwitikio wa majanga, ikiwemo hatari zinazohusiana na El Nino, mafuriko na mabadiliko ya tabianchi. Kati yake, US$100m ilikuwa ni Development Policy Financing na US$200m ni Catastrophe Deferred Drawdown Option.
Pia IMF iliidhinisha Tanzania kupata takribani US$786.2 milioni kupitia Resilience and Sustainability Facility (RSF) kwa ajili ya mageuzi na uwekezaji wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Mwaka huu wa 2026, Samia Suluhu kafanya kufuru ya kukopa. Hadi wameficha takwimu alisi. Tumeishia kuona picha mitandaoni tu.
Kabla ya mume wake kufa, aliaacha amekopa ndo akenda kuzika huko zanzibar.
Hela zinapelekwa wapi?
View attachment 3673732View attachment 3673733
Mzanzibari Samia Suluhu Hassan(kabla ya kuanza kuitwa mjane) akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Bw. Ndiame Diop, tarehe 20 Agosti, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam. Unajua aliomba mabilioni kiasi gani kusaidia El nino?
Tangu nimeona mawaziri na machawa wanaungana kushukuru Samia kutoa hela ambazo kimsingi ni kodi zetu, ni dalili kuwa Hazina inachotwa bila kikomo.Uhuni ni mwingi sana. Swali, pesa zimehifadhiwa kwenye bank zetu au zinapelekwa Oman?
Halafu kuna watu wanaamini kuwa sisi TUNAPHOJI haya ni magaidi.Na haijulikani imefanya kazi gani.
Ni hatarii! Hawa wezi hawana hata aibu kabisa kabisa!Mzanzibar Samia Suluhu Hela anazokopa za El nino anazipeleka wapi?
Wakikopa wanatafuta kama 10% wanawapa Vyombo vya habari viongelee Mvua za El nino, wanaagiza Wakuu wa Walaya na Mikoa kukagua Miundombinu na kutisha watu kuhusu Mvua za El nino.
Utawaona barabarani na Mifagio eti wanafanya usafi huku wamevaa reflector na Gloves. Ndo unajiuliza ndo hela tumekopa kufanya? Yaani maneno tu. Hela hazionekani zikitumika.
View attachment 3673723
Niliyegemea tutunue mitambo ya kuzibua mitaro, kujenga maadara imara. Lakini tunaishia kujengewe madaraja ya miti.
Madaraja ya Bajeti ya Tanroads ndo yanageuzwa kuwa madaraja ya kupambana na Mvua za El nino.
View attachment 3673726
Mwaka 2024, baada ya mvua za El Nino na Kimbunga Hidaya, Tanzania iliomba mkopo wa dola milioni 100 kutoka World Bank/IDA kupitia Crisis Response Window kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa miundombinu iliyoharibiwa. Mfano lile daraja la Somanga lilillosombwa ba maji.
Serikali pia ilitenga takribani US$83.18 milioni kutoka vyanzo vya ndani kwa ajili ya recovery na reconstruction.
Mwaka 2025, World Bank iliidhinisha US$300 milioni za financing kwa Tanzania kwa ajili ya kuimarisha maandalizi na mwitikio wa majanga, ikiwemo hatari zinazohusiana na El Nino, mafuriko na mabadiliko ya tabianchi. Kati yake, US$100m ilikuwa ni Development Policy Financing na US$200m ni Catastrophe Deferred Drawdown Option.
Pia IMF iliidhinisha Tanzania kupata takribani US$786.2 milioni kupitia Resilience and Sustainability Facility (RSF) kwa ajili ya mageuzi na uwekezaji wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Mwaka huu wa 2026, Samia Suluhu kafanya kufuru ya kukopa. Hadi wameficha takwimu alisi. Tumeishia kuona picha mitandaoni tu.
Kabla ya mume wake kufa, aliaacha amekopa ndo akenda kuzika huko zanzibar.
Hela zinapelekwa wapi?
View attachment 3673732View attachment 3673733
Mzanzibari Samia Suluhu Hassan(kabla ya kuanza kuitwa mjane) akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Bw. Ndiame Diop, tarehe 20 Agosti, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam. Unajua aliomba mabilioni kiasi gani kusaidia El nino?
Mwache azipeleke anakojua. Mwanamke akiamua jambo lake, hayupo wa kumzuia. Atafanya kila linalowezekana mpaka afanikiwe.