Kufuru ya Samia Suluhu kukopa Hela za El-nino, ila tunaishia kujengewa madaraja ya Miti. Hela anazipeleka wapi?

Tatizo sio mikopo, je mikopo inafanyia nini? Cha kusikitisha zaidi sisi ndio walipaji
Sioni shida kama sehemu ya mkopo utanunua silaha nyingi za kuilinda Jamhuri dhidi ya vibaraka na adui kutoka nje. Taifa kwanza mengine yajalizie tu.
 
Ndivyo kakutuma🤣🤣 . Nani kauza DP WORLD? Tuanzie hapo kwanza.
Mtu huyu anaelewa anachosema.."nani kauza dp world" kwa hiyo dp world ni mali ya watanzania..! Pombe ingali kichwani anakurupuka na mada haina kichwa wala miguu..
 
Wakwenu walikuwa kwenye kibanda cha Siri🤣
 
Amelaaniwa aisee

Hiyo mikopo tunalipa kwa kodi zetu lakini TISS wanalazimisha kila mtu atamke ni pesa za mama na LAZIMA wamshukuru
Uhuni ni mwingi sana. Swali, pesa zimehifadhiwa kwenye bank zetu au zinapelekwa Oman?
 
Acha tu.mdau! It's totally scandalous! But do they care about us?! None whatsoever!
WADANDANYIKA tunamalizwa kidogo kidogo!
Halafu CHAWA ANAKUJA ETI. MITANO TENA?!
👺🤬👺🤬👺🤬👺🤬
 
Uhuni ni mwingi sana. Swali, pesa zimehifadhiwa kwenye bank zetu au zinapelekwa Oman?
Tangu nimeona mawaziri na machawa wanaungana kushukuru Samia kutoa hela ambazo kimsingi ni kodi zetu, ni dalili kuwa Hazina inachotwa bila kikomo.

Banker wao ni Chivayo, kufuru hazitoisha
 
Ni hatarii! Hawa wezi hawana hata aibu kabisa kabisa!
 
Mwache azipeleke anakojua. Mwanamke akiamua jambo lake, hayupo wa kumzuia. Atafanya kila linalowezekana mpaka afanikiwe.

Huyo si mwanamke ni rais, hizo pesa si mali yake, knowing every action anayo fanya ina direct effect kwa wananchi

So kama anatumia for her personal issues ni suala la muda before oct 29 repeats itself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…