Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Ujinga wa Elon Musk ni pale pesa yake inaweza kubadili sayansi ya Mungu. Elon Musk ana mkakati kabambe wa kuhamishia makazi yake kwenye sayari ya Mars na tayari tunaambiwa Huko mji umeshaanza kujengwa
Mungu ametupa Dunia Moja tu kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi, tumeichafua na kuinajisi kwa madhambi na kila aina uchafu, tumeigeuza Dunia kuwa kitu kikuu kuu kisichofaa Tena, MATENDO ya ushoga imekuwa agenda ya Dunia, na Sasa wale tuliwaita wazungu zamani leo hii wanalazimisha Dunia yote iwe ya mashoga, tunamjaribu Mungu ili tuione hasira yake.
Mauaji na damu za watu wasio na hatia zinamwagika kuliko hata kuku wanavyochinjwa. Matetemeko makubwa makubwa kwa sasa ishara ya maandalio ya Mungu kuiharibu Dunia.
Leo Musk anakuja na mpango wa kukimbilia Mars. Namhakikishia kwamba Mungu hatamuacha salama. Nimrodi alitaka kujenga mnara utakaomfikia Mungu alipo lakini Mungu alimsambaratisha vibaya mno
Tumuache Mungu aitwe Mungu