Sana Mkuu wangu...Mungu atusaidie yaaniAwe mume, mke, mtoto, mzazi babu au bibi hata rafiki au mpenzi. Marehemu akisha kufa inauma sana kufuta namba zake za simu. Wakati ule wa simu za mezani za Shirika la Posta na Simu, jirani zetu walifiwa na mama yao ambae ndiye alikua na akaunti ya simu.
Walikaa miaka mingi wakilipa ankara kwa jina lile mpaka siku ilitokea matatizo, Posta walimuomba mwenye ankra aende ofisini. Baba alikwenda, alijibiwa tunamtaka mwenye jina. Aliwajibu kuwa mwenye jina ni mke wangu alifariki miaka mitano iliyopita.
Waliomba kuona cheti cha kifo na kujiridhisha, mzee aliambiwa ni kosa la jinsi kuendelea kutumia jina la marehemu. Ilibidi jina la ankra kubadilisha even.
SanaInauma haswaaa
Kuna rafiki zangu wawili wa jinsia tofauti niliwahi kufanya nao kazi Iringa, wote walikufa mwaka 2017 na 2019.Awe mume, mke, mtoto, mzazi babu au bibi hata rafiki au mpenzi. Marehemu akisha kufa inauma sana kufuta namba zake za simu. Wakati ule wa simu za mezani za Shirika la Posta na Simu, jirani zetu walifiwa na mama yao ambae ndiye alikua na akaunti ya simu.
Walikaa miaka mingi wakilipa ankara kwa jina lile mpaka siku ilitokea matatizo, Posta walimuomba mwenye ankra aende ofisini. Baba alikwenda, alijibiwa tunamtaka mwenye jina. Aliwajibu kuwa mwenye jina ni mke wangu alifariki miaka mitano iliyopita.
Waliomba kuona cheti cha kifo na kujiridhisha, mzee aliambiwa ni kosa la jinsi kuendelea kutumia jina la marehemu. Ilibidi jina la ankra kubadilisha even.
Sio kwamba umegeuza huo msemo "kata pua uunge wajihi"Ndiyo maana kuna sheria za mirathi na ndiyo maana watu wanazaliana. Namba za marehemu, kama zilivyo hazina na mali, virithishwe kwa damu changa. ^Kata wajihi uunge pua^ walisema Wahenga.