Kufuta namba ya simu ya marehemu inauma sana

Baba yangu alifariki 2017 Mama yangu alifariki may mwaka jana,namba zao zote bado sijazifuta,hali ya kuondokewa na wapendwa uisikie tu usiombe ikukute kwani maumivu yake hayasemeki
 
Daah inauma sana.
Age imeenda but still i cant delete my Father's number...
Na technology ilivyo sikuhizi ,numbe ipo synchronised kwenye devices zangu mbali mbali.
Iache tu ibaki[emoji17][emoji17][emoji17]
 
Namba baba nimeifuta mwaka huu, baada ya kufariki mwaka jana, Mana kila nikiwa napitia majina pindi niwapo na shida ,naiona namba yake na mtu ambae alikuwa na mwitikio wa Hali ya juu Sana, kwa hasira nikaona bora nifute, kupunguza maumivu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imenigusa kama ndiye mfiwa[emoji17][emoji17][emoji17]nimeshindwa kuvivaa viatu vyenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…