holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu,
Omba yasikukute, narudia tena omba yasikukute, kufuta namba ya simu ya mtu uliyekuwa unampenda kwa dhati ni jambo gumu mno.
Wakuu, mpenzi wangu amefiwa na shangazi yake ambaye kiukweli nilimpenda sana, nilizoeana nae vya kutosha, yeye ndiye nguzo kuu ya mahusiano yetu na wiki mbili zijazo tulikuwa tunatarajia kufunga ndoa
Moyo unaniuma na naumia sana kufuta namba yake RIP shangazi umeacha legacy ambayo haitafutika maishani mwangu.
Mungu awatie nguvu,ukuaji mwema mapacha wa wiki 3 uliowaacha.
Nenda shangazi see you again.